My trip to Russia

My trip to Russia

Mi nilijua unaenda kusoma.....Kama ni for leisure umekosa nchi nyingine ya kwenda?

You can't pay me to go to Russia.

But some people are gluttons for punishment I guess.

8 of the Worst Countries For Black People to Travel - Atlanta Black Star

RussiaBlack visitors will also have to be extra careful when they venture outside of Moscow into the rest of Russia. In a chilling warning, the Russia expert of New Republic, Julie Ioffe, said, “There’s quite a bit of violence against people considered to be Black” in Russia, raising new fears about the safety of Olympic athletes, visitors and media attending the 2014 Winter Olympics in Sochi. Ioffe warned that nowhere in Russia is safe for a person of color to visit, outside of Moscow’s city center.
During an “Ask Me Anything” discussion on the social media site Reddit, Ioffe was asked by a Black college student whether it is safe for an African-American to study in Russia.
Here’s her answer:
“Hmmmm, that’s a tough one. I think that, for the most part, you’d be okay — if you consider people glaring at you and cracking racist jokes okay. (Russians are, er, not the most tolerant bunch.) There’s quite a bit of violence against people considered to be black, which includes, in the Russian mind, people from Central Asia and the Caucasus. My advice is go, but stick to the city center and try to go to a bigger city like Moscow. (St. Pete is crawling with skinheads.) Be extra, extra careful and make sure the American Embassy knows you’re there. They have a special unit to deal with threats to American citizens, so you should report anything that happens immediately.”
 
Komaa baba ubaguzi kila kona hii ya ulimwengu
 
Wakati huo kutakuwa na jua kama bongo
 
ukiwa na HIV huwezi kwenda urusi?

Huwezi,labda uhonge kule angaza,halafu unakoenda iwe kwa mtu binafsi na isiwe kwenye taasisi,maana kuna utaratibu kwa mfano kama ni mwanafunzi lazima ukifika Russia lazima upimwe tena magonjwa yote na ukipatikana na kifua kikuu(TB) au Ukimwi hupewi visa vya kudumu,lazima urudi bongo
 
Viol hivi kama ndo HIV+ na visa ndo hupati?????
:rip:
Hupati visa,labda uhonge kule angaza,maana wao hawapokei vipimo toka taasisi zingine isipokuwa angaza.
Still unakoelekea kama ni masomoni ukifika lazima watakupima tena magonjwa yote,ukipatikana na H.I.V au kifua kikuu lazima urudi kwenu maana hupewi visa vya kudumu
 
Nimependa Sana ufafanuzi Wako!
Ni watu wachache Sana waliopo JF kwa sasa wawezao kumuelewesha mtu namna hii.

Endelea hivyo hivyo kiongozi!!
Pamoja sana mkuu,
Thanks
 
Nnavyojua ukienda Nchi yoyote ya nje ukienda kusoma lazima ukapimwe afya yako hasa ukimwi lakini kwa ajili ya matembezi tu sidhani...
 
Nilisoma Moscow, na nilitembelea baadhi ya miji. Nataka nikwambie kuwa hizo zote unazosikia ni mentality za watu lakini kiukweli kupo vizuri sana. Kama uhalifu kila nchi wapo including Tanzania, mi wakati najiandaa kwenda kusoma kule watu wengi walinivunja moyo kwa kuniambia kama unayoambiwa. Nimeenda kule na nimekaa 6 years na hata siku moja sijawahi baguliwa. Wap pia wanapenda kufahamiana na watu mbalimbali. So watakuwa wakorofi kwako kama tu utajaribu ku-mess up na Mambo yao.
Kitu kingine, wasikutishe kuhusu utalii Russia, maelfu na maelfu ya watalii wanaenda Russia for tourism, just go and have fun na usitishwe na hizo propaganda za watu kusema eti Russia kubaya, si za kweli.

Добрее пожаловать в России.
 
Your are best of the best thanks kwa kunitia moyo nashkuru waTz wenzangu wako huko na wamenihakikishia usalama.
 
Your are best of the best thanks kwa kunitia moyo nashkuru waTz wenzangu wako huko na wamenihakikishia usalama.

Usijali bhana kuhusu usalama pako safe sana,watu tunazunguka mitaa usiku na mchana na haijatokea lolote kibaya
 
mku kw rusia mhhh hapana kabisa..nenda saud arabia uta enjoy sana au hata dubai au afgnistan
 
Asanteni kwa wote mlionishauri na mlionikatisha tamaa,safari ya russia iko na nishaanza kufuatilia kama viol alivyoelekeza
 
Andika urithi wako kabisa incase ndege isipo onekana tena nasikia mpk zifike saba ndio zitaacha kupotea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom