My trip to Russia

My trip to Russia

Kuna watu wanataka wafike tu ulaya kwa njia yeyote ile then baada ya hapo wanajilipua I mean wanaishi huko huko illegally!
Hahaha no mimi siko hivo just for leisure.Na ushawahi kusikia wakimbizi wa Africa wanazamia Urusi?ile nchi inasheria kali sio kama UK.
 
Hahaha no mimi siko hivo just for leisure.Na ushawahi kusikia wakimbizi wa Africa wanazamia Urusi?ile nchi inasheria kali sio kama UK.

Alaa kumbe! Kama ni hivyo basi sawa ila kumbuka moscow is the most expensive city in the world. Pitia pale mwanza uchukue kaparcel kadogo ka dagaa incase of emergency pale food inapokuwa ghali sana. Lol!

Kila la kheri mkuu!
 
Nenda New York wewe acha kutumia pesa kihasarahasara (see you at Times Square manhattan)
 
Viol hivi kama ndo HIV+ na visa ndo hupati?????
:rip:
 
Pako poa sana me nilikuwa kwenye lile jimbo la Kiev nipoa sana kaka na hasa kwa totozi ila kama ukijitambulisha ur from amerika utaenjoy sana coz wanajua unampunga ila ukisema ur hom place ni tz au east afrika wengiwao hawapajui wanajua sanasana Kenya kaka,jiandae kutengwa kila uendapo kwani hata pesa ukiitoa kwajili yakupata huduma inakaguliwa utadhani nini vile wanaamini sisi wa afrika sijui ni wezi au hatubahadh yakuwa kule ila nipoa tu mwanangu siumesema utakomaa ukifika utupe mrejesho plz.safarinjema mpwa.

Kumbukumbu zangu zimekufa,nilishasahau kwamba Kiev ni jimbo la Russia ati!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Unaenda mji gani??
Karibu Moscow City.
Njoo na hela za kutosha usije ukalala nje kwenye barafu kila kitu kinaenda kwa procedures,kama unaenda kwa kutalii tu piga cost ya hotel na na matumizi ya siku uyakazoishi.Sasa hivi kuna baridi hali ya hewa haitabiriki na kuna barafu za kushtukiza.

Kuhusu visa kwanza hangaikia invitation kama una passport,ukipata invitation uende angaza kupima H.I.V utalipia fomu ya majibu kwa 20,000,nakushauri nenda hospitali ya Mnazi Mmoja,ukipewa hiyo fomu hapo hapo uwaambie wakupe chanjo ya Yellow fever,utalipia kadi 5,000 nadhani,then kabla ya kwenda ubalozi wa Russia nenda Russian Culture ipo karibu na Agha Khan hospital uwape hiyo fomu ya H.I.V test,kama ni express watakutafsiria kwa kirusi kwa sh 30,000 ,wakitafsiri majibu yako yaliyogongewa mhuri na saini unatakiwa uende ubalozi wa Russia,upo karibu na Ubalozi wa Ufaransa,ukitoka posta unaelekea mpaka Salenda bridge,au unaweza kupanda daladala ya posta-mwenge kisha unashukia ubalozi wa ufaransa au karibu na Stanbic Bank.Ukifika hapo ubalozini kwao uwape invitation ukiwa umeambatanisha vipimo vya H.I.V vilivyotafsiriwa kutoka Russian culture,kama utataka Express visa utatoa sh 1,59,000.
Utakuwa umemaliza kila kitu.

Karibu Russia,hakuna ubaguzi ila kama we mbaguzi utahisi unabaguliwa.


Nimependa Sana ufafanuzi Wako!
Ni watu wachache Sana waliopo JF kwa sasa wawezao kumuelewesha mtu namna hii.

Endelea hivyo hivyo kiongozi!!
 
Kuna rafiki yangu naye alienda last year for leasure alikaa 1 week na alienjoy. Tafuta agency hapa bongo yeye atatafuta agency kule watakuunganisha na utapata invitation. All the best.
 
Nenda:
  • Bahamas
  • Marbella - Spain
  • Mauritius
  • Bali
  • Malibu
  • Miami
  • Barbados
  • Morroco
  • Cape Town
  • Copa Cabbana
  • Ipanema
  • Sao Paulo
  • Malta
  • Monaco
  • Dubai
  • Basi hata hapo zanzibar

Ila kwa russia sikuungi mkono hata kidogo

Bali ni kisiwa mojawapo hapo Indonesia, kutoka hapa ni 45min usiende wala sio ishu, nlikuwepo xmas hapo pa kawaida tu, nenda Gold coast bwana aaagh ka hauko duniani
 
Ila nenda uko uko mkuu, kila la kheri sana uje utupe fdbk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom