My trip to Russia

My trip to Russia

Urusi? niliwahi kuuliza swali hilo kwenye forum fulani; Mrusi mmoja akaniuliza "are you on the run?...dont fkin go there!" sehem pekee ambayo ninaweza kwenda na nikakaa kwa amani lau kidogo ni MOSCOW, alisema yeye haishi russia kwa sasa lakini Rusia is really fkd up, ni wabaguzi wanabagua mgeni YEYOTE, mtu yeyote asiye mrusi ni ngumu kuishi kule, hata ukiwa mkimya na kujitahidi kupishia mbali shari watakufuata, hakuna rafiki yako kule, polisi ogopa kama ukoma, rushwa kila mahali mpaka mbeba mizigo anataka rushwa, ukiwa na case na mwenyeji usiripoti polisi daima watasimama upande wa mwenyeji. Jamaa mwingine alisema RUSSIA=WHITE AFRICA.
 
Haya hapa majibu ya wenyeji.

"Now the situation in Russian Federation is being worse and worse. Chechens and Dagestanis (hill tribes-not people but stupid sheeps), they've seized power and started to create the lawlessness. You've looked strange at some chechen-could be troubles. They all have knifes, all of them want to use it asap to kill more russians.Want to come to the club with a beautiful girl-better bring your traumatic gun. We call them "hachi". Something like Mexicans for Americans and Albanians for Serbian people.
Tula...ass of the world. Absolutely nothing to do there. No bombs, no mafia, no bears, playing the balalaika))) Only sad cold weather, snow/rain/snow during 7-8 months. Gloomy people, impudence saleswoman, expensive and anti useful food. The worst thing-the police. This is not your friend this is your enemy, sometimes frightening than chechens. And have chechens in police too... f*ck them!!. The Corruption thrives everywhere.
If you go to Russia, go only to St. Petersburg from June to September (even Moscow-but i don't like this city). Apartment in the center of the city costs about 600-700 USD with one room. Beautiful city, beautiful women, more or less normal people, great clubs,restaurants.
Super-fast internet almost everywhere (in Tula, too fast, the Internet in Russia is good everywhere). There are very few people who speak english it is true, sorry.
I am Russian, but I live abroad already 4th year. To live in Russia is NOT REAL. Even for russians.
It's not a life it is a fight for it, fight with the government, which spit on u. My grandfather passed all the German concentration camps during the Second World War, my grandmother was sitting without food and drugs in the besieged city at a temperature of minus 30 degrees Celsius. Now they have the pension little more than 6000 rubles (less than $ 200).
I love my homeland, Russia is a beautiful country, it is still a lot of extraordinary people living there:good, open, warm-hearted etc.
But Putin and Co. have made the huge pit from my country...better to run headlong!!!
Do not listen to BBC, CNN and other -----they say the most perfect nonsense! The situation is much worse...but not like they are telling us. Other ----. Only russians know."

Sijawahi kufika huko, lakini wenyeji walinitisha nikaona tabu ya nini!
 
Urusi? niliwahi kuuliza swali hilo kwenye forum fulani; Mrusi mmoja akaniuliza "are you on the run?...dont fkin go there!" sehem pekee ambayo ninaweza kwenda na nikakaa kwa amani lau kidogo ni MOSCOW, alisema yeye haishi russia kwa sasa lakini Rusia is really fkd up, ni wabaguzi wanabagua mgeni YEYOTE, mtu yeyote asiye mrusi ni ngumu kuishi kule, hata ukiwa mkimya na kujitahidi kupishia mbali shari watakufuata, hakuna rafiki yako kule, polisi ogopa kama ukoma, rushwa kila mahali mpaka mbeba mizigo anataka rushwa, ukiwa na case na mwenyeji usiripoti polisi daima watasimama upande wa mwenyeji. Jamaa mwingine alisema RUSSIA=WHITE AFRICA.

Russia is a shit hole!!
 
Habari zenu ndugu zangu wa jf.mimi humu ni mgeni ila nmekuja huku kufuata advice yenu.

Naombeni ushauri juu ya nchi hii ya Russian nna mpango wa kwenda for leisure 2 weeks.najua watz huko hawakosekani.Je visa zake hazisumbui kama za uk?Hotels?nategemea kwenda miji mitano.

Naskia kuna ubaguzi mkubwa ila mi ntakomaa tu.

Naombeni ushauri kwa wazoefu.

Nawasilisha

kwa nini usiende Hawaii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom