The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
- Thread starter

- #141
Rocky this is the quote of the day for meNashangaa mkuu umejieleza na unazidi kujieleza as if uko kwenye ndoa
Ila just note that marriage is how u make it in your own way na sio kuiga BHT au Rocky au AshaDii
Rocky this is the quote of the day for me
Kabisa mkuuThanks sana Mkuu
Always appriciate hata kile kidogo unachokipata na jua kwamba tupo kwa ajili ya kushare na kujifunza
Nashangaa mkuu umejieleza na unazidi kujieleza as if uko kwenye ndoa
Ila just note that marriage is how u make it in your own way na sio kuiga BHT au Rocky au AshaDii
Word BHTsipendi kuishi maisha ya mwingine, not because somebody's marriage did break, mine will break too, not because that couple have a successful marriage I should copy their A, B, C, B...nope!
mahusiano /ndoa yangu na mwenzangu ni yetu na tutachagua kile kitufaacho.
btw: bwan' Rocky kwa ni hii mada ni kwa ajili ya wenye vifungo vya maisha tu?
sipendi kuishi maisha ya mwingine, not because somebody's marriage did break, mine will break too, not because that couple have a successful marriage I should copy their A, B, C, B...nope!
mahusiano /ndoa yangu na mwenzangu ni yetu na tutachagua kile kitufaacho.
btw: bwan' Rocky kwa ni hii mada ni kwa ajili ya wenye vifungo vya maisha tu?
nafurahi kusikia haya maana watu wanajua nitaangalia namna TF anavyoishi na mke wake na mimi niige au nitaishi kama yeye
Ndoa ni yako na ukitaka iende shimoni utaipeleka wewe mwenyewe na ukitaka iwe nzuri utaiifanya wewe
Hakuna atakayekusaidia kuifanya iwe hivyo wala hao unaowaeleza mambo yako ya ndani hawatakusaidia lolote zaidi watakuharibia
Mhhh nimeuliza maana naona TF anatoa comments kama za mtu mwenye ndoa ndo maana nikauliza
Ila wote wanaruhusiwa maana kuna watu wenye hekima japo hawako kwenye ndoa kama TF
hizo ndo zikoje?...lol

Si unamuona TF alivyo nafikiri anaongea kama mtu mwenye experience na ndoa yake kwa miaka kadhaa

we TFF hebu subiri kwanza uingie bana ndo uanze kumwaga utirio hapa...lol

Mkuu nashukuru nimekupata kule vilivyo naona nikirespond mambo yanagoma

Mkuu pamoja sana usiwe na wasi wasi

Ila hebu tuambie kimya kimya hapa haya mambo ni lini yatakuwa tayari uje uchukue mchango hapa

Hahaha mkuu usijali lol! Kuna binti wa bht ndio nasubiria kupeleka posa lol!

Hahaha mkuu usijali lol! Kuna binti wa bht ndio nasubiria kupeleka posa lol!

hahaaaa binti wangu maridadi sana aisee, afu babaake ni mnoko ile mbaya, hataki bintiye aje apate tabu mbeleni...lol!

hebu endelea basi na juhudi wakwe watarajiwa tukuone maringo yako!!

Nina wasi wasi mpaka ninti wa BHT akue wewe utakuwa kibabu na ufataki hautakiwi hata kidogo kwa binti huyo

Ayaaaa unaharibu Rocky lol!