My thoughts, what are yours?

ameandika ili amuimpress Lizzy! bahati mbaya Lizzy wenyewe hakuona ndani, niko bize namtafsiria huku PM. kimewaka aisee!

A home is built by MONEY; love, peace and joy ni matokeo.

Unafikiri mimi Hashycool aliyejifanya anajua kuongea kirusi baada ya kukamatwa border anatuita tumtoe selo

hehehe huyo jamaa sjui watamuachia lini aisee! kesi yake nzito, kumbe pia alikuwa anafanya magendo ya kusafirisha vitabi vitakatifu bila kibali

Hata HELA ni matokeo

Kweli kabisa
na naomba nitofautiane na msemaji hapo juu
Nyumba inajengwa kwa upendo, amani na furaha
Yakiwepo hayio pesa ni matokeo maana kuna couple hazina pesa ila zinaishi kwa amani , furaha na upendo maana wanaridhika na wanapambana ku9yaweka maisha yao mahali pazuri

Sina cha kuongeza hapa mkuu

Safi sana Mr Rocky, na kuukataa UMOJA KATIKA NDOA HAPO NDIYO MWANZO WA MIFARAKANO YA KIFAMILIA.

Sawa kabisa mkuu
Ni lazima muwe na mawazo yanayoendana na muwe na nia moja katika kuijenga familia sio kila mmoja anaelekea kwake then mtegemee ndoa na familia njema

Sawa kabisa mkuu

Ni lazima muwe na mawazo yanayoendana na muwe na nia moja katika kuijenga familia sio kila mmoja anaelekea kwake then mtegemee ndoa na familia njema

Mawazo yanayoendana na kukubaliana kwenye mambo ya msingi ndio mwanzo wa kujenga familia bora.

Mawazo yanayoendana na kukubaliana kwenye mambo ya msingi ndio mwanzo wa kujenga familia bora.

Tf Eid Mubarak. Uwe na sikukuu njema japo hata pilau umekataa kunialika

There are two things start before marriage, Love or admire. If marriage comes from the admire doorway, it wont survive long, or if it will, they will be a hell on it. The one which comes from LOVE will last long,
Because:

Love is patient, Love is kind, It does not envy, it does not boast, it does not proud, it does not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. Love always protect, Always trusts, Always hope, Always perseveres.
LOVE NEVER FAILS

Tf Eid Mubarak. Uwe na sikukuu njema japo hata pilau umekataa kunialika
Hahaha! Mkuu kuna nyumba ya jirani hapa wanapika pilau ndio nasubiria kuzamia ingawa sijapewa kadi

Thank you Techman for your comments

QUOTE=The Finest;2430578]Hahaha! Mkuu kuna nyumba ya jirani hapa wanapika pilau ndio nasubiria kuzamia ingawa sijapewa kadi[/QUOTE]

Mbona lizzy jana alikupa mwaliko bana au ndo janja ya kuniondoa nisije m

Mbona lizzy jana alikupa mwaliko bana au ndo janja ya kuniondoa nisije
Hahaha!!! Mbona haujanipa mwaliko wa kuja Hungumalwa

uvumilivu, kusikilizana, na kujuana ndio kunaweza jenga ndoa au uhusiano maana wengi hatukubali kujikosoa lakini kama tukijikosoa ndoa zita dumu sana na zitakaa kwa amani

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…