Aisee nimewakuta watu somewhere wanamzungumzia vibaya iddi amini nikawashangaa sana alafu nikawauliza mnamjuaje iddi amin wakasema tunamjua kama dikteta aliyekuwa anawauwa waganda vilema baada ya jibu ilo nikaongozana nao kwenda kilabuni kupata pombe ya kienyeji ili kupoteza mawazo ya kusemwa vibaya my role model