HOMOSAPIEN
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 745
- 271
Hivi serikali kugarimia usafiri wa Mbowe to AR kwa 50 milion ni sahihi?kisa amri ya hakimu mkaazi wa AR,tuacheni siasa tuzungumzie reality,serikali haina vipaumbele!, vilivyopo ni katika makabrasha tu,zaidi siasa za gilba hivi hao uliowataja mafisadi wakubwa na waliotakiwa kujivua gamba ni kiasi gani cha pesa kimetumika hadi sasa kuwashughulikia?.wao ni kuwashughulikia wapinzani tu,mara Zitto,mara Lipumba,Sakaya,Lissu,Ndesa,Lema e.t.c.wote hawa wana kesi sasa wafungeni wote basi tuone kama mna hizo nguvu.
Wananchi hatupendi tena hatupendi na hii ndiyo inayosababisha upinzani kukua kila kukicha,kama mnashindwa kuwashughulikia mafisadi ndani ya serikali mnawashughulikia wapinzani kuwaziba midomo wasiwaumbue sisi tutawapa hao wapinzani dola ili wawashughulikie kikamilifu.
Inachefua sana tu,mimi siyo mwanasiasa ila serikali inanilazimisha nishabikie siasa,na waelewe kabisa kuwa kizazi hiki kinachokuja ukiwanyanyasa kidogo ni rahisi sana kulipuka kwa njia wanayojua wao.serikali isifikiri kuwa hawa wasomi wanapewa kichele kisichotosha mlo wa siku wakisikia 50 milioni zimetumika kumsafirisha Mbowe wanaelewa kitu,mawazo yao ni kuchezea pesa ya serikali tena inachefua zaidi wanaposikia fisadi mmoja aliyekuwa anajichukulia 143 milioni daily anabembelezwa ajivue gamba na yeye hataki kisa anashushiwa hadhi ya kuwa mgombea urais 2015.
Kwanini asiburuzwe kama Mbowe,au anataka kuongoza dola kwa maslahi ya nani?,hivi akigombea mtu kama huyo CCM itawalazimisha wananchi kumpigia kura kwa nguvu,tena kwa kutumia risasi za moto na mabomu ya machozi?.NGUMU KUMEZA LAKINI TAMEZA.