Impotent!!!Similar to its reciprocity!!!

Acheni huu upumbavu wa sisi etc etc...Hilo tamko ya EU yana tofautiana vipi na waraka wa maaskofu KKKT au TEC?Ndg nmesoma uzi wako kwa Eric Shigongo nikabaki nashangaa tu!!
Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????
Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???
Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui
Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????
Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????
Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!
Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????
Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????
Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!
VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Ulitaka mashinji aingie msituni? Unataka afanyeje labda?haya ndo madhara ya kukosa akiliUnaleta ukabila badala ya kujibu hoja????
Ila unaweza ukawa Sahhi maaana hata Dkt Mashinji hamna akifanyacho Chadema
Your brain is equipped by faeces which is why you're a foolUr cucumber!!!!
Naona wewe ulikuwa umekufa umefufuka juzi,asiyependa kupokea maoni ni Magufuli ndo maana anaua wanaomkosoa kama una akili timamu itisha press conference ya kumkosoa uone kama utarudi nyumbani,ila anachokitaka magufuli atakipata tuInaumiza wakati unataka maoni yako yasikilizwe na JPM wakati wewe unaona mwenye maoni dhidi yako si binadamu. Kwa minajiri hiyo JPM kutotaka maoni naye yupo sahihi basi. Inabidi kila mtu akubali kupokea maoni kinzani na yanatakiwa kuanza na nyie kwanza
Hata shetani anaijua Biblia,tafuta jingine.Kwanza naomba usome reference hii ya kibiblia ndo nkujibu hoja hii
Mungu aliwaambia wana wa Israel walipokuwa wanavuka mto Yordan akasema " sikiliza ee Israel hivi leo unataka kuvuka yordan uingie kwa kuwamiliki mataifa yaliyo makubwa na yenye nguvu kupita wewe, miji mikubwa iliyojengewa kuta hata mbinguni watu wakubwa, warefu, wana Wanaki, uwajuao uliokuwa ukisikia wakitajwa hivi, ninani awezaye kusimama mbele ya wa Anaki ? Basi jua siku hii ya leo kuwa BWANA Mungu wako, ndiye atanguliaye kuvuka mbele yako kama Moto uteketezao :atawaangamiza , tena atawaangusha mbele yako : ndivo utakavyowafukuza na kuwapoteza upesi kama alivyokuambia BWANA. Kumbu x2 9:1-6)
Pia "Basi jua ya kuwa BWANA mungu wako hakupi nchi hii nzuri uimiliki kwa haki yako, kwa maana u taifa lenye shingo ngumu. Ni kwa sababu ya uovu wa mataifa haya BWANA awafukuza nje mbele yako, ( kumbu kumbu la Toroti 9:6,1-5)
Naomba uchambue vzr hapa then najibu hoja zako
It's not your mistake, it's all about your offspring that you were extracted from the womb of a harlot womanUseless post from hopeless Guy!!
Hata nyie mpo kama yeye, hivyo ni makosa kumlaumuNaona wewe ulikuwa umekufa umefufuka juzi,asiyependa kupokea maoni ni Magufuli ndo maana anaua wanaomkosoa kama una akili timamu itisha press conference ya kumkosoa uone kama utarudi nyumbani,ila anachokitaka magufuli atakipata tu
Kwa bahati nzuri ngondo yenyewe haichagui rangi ni ya wote.Mimi ya huko mbeleni siyajui ila hii ngondo mnayo mpaka mwaka 2025
wacha kuleta habari ya kufikirika. Alphonce Mawazo aliuawa na watu wanaodhaniwa kuwa wana ccm hadi Leo hakuna aliyekamatwa kwa matukio hayo.
2. Ben Saanane alitekwa na kupotezwa na watu wanaodhaniwa TISS,lakini hadi Leo jalada la kesi yake limefungwa na Police
3. Tundu Lissu alipigwa risasi
4. Kanguye wa Kigoma alitekwa na kupotezwa
5. Azori Gwanda alitekwa na kupotezwa
6. Kijana Eric wa Sinza alitekwa na kupotezwa
7. Daniel wa kinondoni alitekwa na kuuawa
siku utakapokuja kutekwa na kuuawa kama Mawazo usije ukasahau kusema maneno haya, kutekwa na kuuawa kwako yawe ni matukio ya kawaida tu kwako,kwa kuwa na mahali pengine yanatokea.Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????
Hivi kwenye Gesi sisi tumepata Nini?Ndugu yangu Eric,imefika wakati sasa nikueleze wazi kwamba wewe ni mnafiki na huna hofu ya Mungu bali una hofu ya serikali kwa sababu ya kuogopa maslahi yako kuguswa.
Taifa lipo pabaya tangu rais Magufuli aingie madarakani 2015.
Magufuli ni rais wetu sote,haitakiwi tumwogope bali tumwambie ukweli halisi bila kujali madhira yanayotukuta.
Lakini wewe unataka kutufanya siye hatuipendi nchi yetu ila wewe unaipenda sana.
Umeandika waraka wa hovyo mno kupinga maazimio ya EU juu Tanzania, kwamba EU inatuonea kwa sababu eti Rais anatetea raslimali Kama dhahabu baada ya kuzuia makinikia.
Waraka wako umejaa vichekesho kweli,ni waraka wa mtu muoga anayejipendekeza kwa serikali.
Tujadili kuhusu Raslimali,Rais hapigani vita ya raslimali bali anapigana kufuta amani ya nchi ambayo Mungu ametupatia kwa miaka mingi,anavunja katiba aliyoapa kuilinda kwa kunyanyasa wapinzani,mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa sheria na shughuli zote za kidemokrasia,lakini yeye anawaona wapinzani ni maadui wakubwa wa nchi.
1. Alphonce Mawazo aliuawa na watu wanaodhaniwa kuwa wana ccm hadi Leo hakuna aliyekamatwa kwa matukio hayo.
2. Ben Saanane alitekwa na kupotezwa na watu wanaodhaniwa TISS,lakini hadi Leo jalada la kesi yake limefungwa na Police
3. Tundu Lissu alipigwa risasi
4. Kanguye wa Kigoma alitekwa na kupotezwa
5. Azori Gwanda alitekwa na kupotezwa
6. Kijana Eric wa Sinza alitekwa na kupotezwa
7. Daniel wa kinondoni alitekwa na kuuawa
8. Makumi ya maiti zikiwa zimefungwa kwenye viroba zimetupwa baharini
9. Akwilina alipigwa risasi na Police kesi kapewa Mbowe
Yote hayo kwako ni sifuri halafu unajiita mcha Mungu, are you serious? Hujawahi kuandika waraka wowote kuumizwa na hayo matukio na wala kuitaka serikali iwajibike.
Umekuja kuibuka unaandika waraka kusema upo pamoja na Rais, unadhani ni nani yupo kinyume na Rais? Sote tupo pamoja naye lakini hili la serikali kukiuka haki za binadamu hatupo naye,na ndo msingi wa maazimio ya EU.
Suala la ushoga, lisiwe kiki, EU haijawahi kuipangia nchi yoyote mambo yake wala kuilazimisha ikubali ushoga.
Inachopinga EU ni tabia ya serikali ya awamu ya tano kutenda ukatili dhidi ya watu wake.
Hii nchi ni yetu sote, unadhani siye tunapenda iharibiwe?
Kwanini EU ionekane mbaya Leo hii na siyo awamu zingine zote? ina maana marais wengine walikuwa hawafai?
Yaani Dunia itazame tu unyama ukifanyika eti wasiseme kwa sababu we're the sovereign state, being a sovereign state doesn't mean you're free to practise inhumanity,tusijifiche kwenye kichaka cha taifa huru kutenda unyama.
Kama kweli una uhakika na waraka wako, mwambie rais pia azuie gesi isiende China, maana gesi ina thamani kuliko dhahabu, acha kujipendekeza simamia ukweli, mwogope Mungu na siyo binadamu, Duniani tunapita tu, our permanent shelters are in heaven.
Mmmmmhwacha kuleta habari ya kufikirika
Siku hizi mtu hata akitekwa kwa kuchukua mke wa mtu mnalaumu serikali
Kuna mwandishi wa The Guardian alilewa chakali akapoteza mawasiliano mkewe akadai katekwa,ma tanapa humu mkaunga tela kulaani serikali,kesho yake amekutwa kajinyea kwa pombe
Magufuli mpaka sasa ana mikonosafi kulinganisha na wenzie waliopita
Mkapa alidondosha mtu 29 pemba
Kikwete kadondosha sana watu wengine walimwagiwa tindikali,kutobolewa macho na kung'olewa kucha na kuuawa,kwa Dr Mvungi
Magufuli hajaua wala kutesa ni tuhuma za kufikirika,hao waliokufa zama za mkapa na kikwete wangekufa zama hizi bavicha mngetembea uchi
Yaani wewe unataka shigongo asimamie matakwa yako na hisia zenu na hao mabeberu wenu. Kawaambie hivi tumeamua kusimama wenyewe. Kenya chini ya Mwai Kibaki walipoamua kusimama walipata taabu lakini waliweza.Na sisi chini ya JPM tutasimama na tutaweza. Ushoga haukubaliki. Wao waje kutalii mbuga za wanyama tu, swala la ushoga halina nafasi.Ndg nmesoma uzi wako kwa Eric Shigongo nikabaki nashangaa tu!!
Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????
Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???
Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui
Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????
Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????
Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!
Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????
Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????
Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!
VivaShigongovivamagufulivivatanzania
hili lipi? hivi umesoma nondo za EU? wametoa zaidi ya point 15 lakini cha kushangaza watu msiokuwa na akili mmekomalia la ushoga na kuachana na pointi nyingine 14. jibuni hizo hoja 14 acheni kujificha kwenye kichaka cha ushogayaan hii ni logic nzur san kukatisha huu uzi wakipumbavu kiukweli mm sio mwanasiasa na kuna mambo simuungi mkono magufuri kwa asilimia zote lakin kwa hili nasema tena kwa hilii nipo nae na ww bega kwa bega
Mkuu taratibuwacha kuleta habari ya kufikirika
Siku hizi mtu hata akitekwa kwa kuchukua mke wa mtu mnalaumu serikali
Kuna mwandishi wa The Guardian alilewa chakali akapoteza mawasiliano mkewe akadai katekwa,ma tanapa humu mkaunga tela kulaani serikali,kesho yake amekutwa kajinyea kwa pombe
Magufuli mpaka sasa ana mikonosafi kulinganisha na wenzie waliopita
Mkapa alidondosha mtu 29 pemba
Kikwete kadondosha sana watu wengine walimwagiwa tindikali,kutobolewa macho na kung'olewa kucha na kuuawa,kwa Dr Mvungi
Magufuli hajaua wala kutesa ni tuhuma za kufikirika,hao waliokufa zama za mkapa na kikwete wangekufa zama hizi bavicha mngetembea uchi
Kwanza unapotumia neno nondo, tauari waelewa tunatambua wewe ni suruali nusu tako.hili lipi? hivi umesoma nondo za EU? wametoa zaidi ya point 15 lakini cha kushangaza watu msiokuwa na akili mmekomalia la ushoga na kuachana na pointi nyingine 14. jibuni hizo hoja 14 acheni kujificha kwenye kichaka cha ushoga
Kwani akisaport ujinga wenu ndio mtamuwekea walinzi dhidi ya majambazi?siku utakapokuja kutekwa na kuuawa kama Mawazo usije ukasahau kusema maneno haya, kutekwa na kuuawa kwako yawe ni matukio ya kawaida tu kwako,kwa kuwa na mahali pengine yanatokea.
Kudos, Erick anacheza siasa za tumbo na ukanda na kama angekuwa hajalipwa madeni yake angekaa kimya, tumpuuze kwa sababu kibano cha.wakubwa kikikolea hatabaki salama hata kidogo!Ndugu yangu Eric,imefika wakati sasa nikueleze wazi kwamba wewe ni mnafiki na huna hofu ya Mungu bali una hofu ya serikali kwa sababu ya kuogopa maslahi yako kuguswa.
Taifa lipo pabaya tangu rais Magufuli aingie madarakani 2015.
Magufuli ni rais wetu sote,haitakiwi tumwogope bali tumwambie ukweli halisi bila kujali madhira yanayotukuta.
Lakini wewe unataka kutufanya siye hatuipendi nchi yetu ila wewe unaipenda sana.
Umeandika waraka wa hovyo mno kupinga maazimio ya EU juu Tanzania, kwamba EU inatuonea kwa sababu eti Rais anatetea raslimali Kama dhahabu baada ya kuzuia makinikia.
Waraka wako umejaa vichekesho kweli,ni waraka wa mtu muoga anayejipendekeza kwa serikali.
Tujadili kuhusu Raslimali,Rais hapigani vita ya raslimali bali anapigana kufuta amani ya nchi ambayo Mungu ametupatia kwa miaka mingi,anavunja katiba aliyoapa kuilinda kwa kunyanyasa wapinzani,mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa sheria na shughuli zote za kidemokrasia,lakini yeye anawaona wapinzani ni maadui wakubwa wa nchi.
1. Alphonce Mawazo aliuawa na watu wanaodhaniwa kuwa wana ccm hadi Leo hakuna aliyekamatwa kwa matukio hayo.
2. Ben Saanane alitekwa na kupotezwa na watu wanaodhaniwa TISS,lakini hadi Leo jalada la kesi yake limefungwa na Police
3. Tundu Lissu alipigwa risasi
4. Kanguye wa Kigoma alitekwa na kupotezwa
5. Azori Gwanda alitekwa na kupotezwa
6. Kijana Eric wa Sinza alitekwa na kupotezwa
7. Daniel wa kinondoni alitekwa na kuuawa
8. Makumi ya maiti zikiwa zimefungwa kwenye viroba zimetupwa baharini
9. Akwilina alipigwa risasi na Police kesi kapewa Mbowe
Yote hayo kwako ni sifuri halafu unajiita mcha Mungu, are you serious? Hujawahi kuandika waraka wowote kuumizwa na hayo matukio na wala kuitaka serikali iwajibike.
Umekuja kuibuka unaandika waraka kusema upo pamoja na Rais, unadhani ni nani yupo kinyume na Rais? Sote tupo pamoja naye lakini hili la serikali kukiuka haki za binadamu hatupo naye,na ndo msingi wa maazimio ya EU.
Suala la ushoga, lisiwe kiki, EU haijawahi kuipangia nchi yoyote mambo yake wala kuilazimisha ikubali ushoga.
Inachopinga EU ni tabia ya serikali ya awamu ya tano kutenda ukatili dhidi ya watu wake.
Hii nchi ni yetu sote, unadhani siye tunapenda iharibiwe?
Kwanini EU ionekane mbaya Leo hii na siyo awamu zingine zote? ina maana marais wengine walikuwa hawafai?
Yaani Dunia itazame tu unyama ukifanyika eti wasiseme kwa sababu we're the sovereign state, being a sovereign state doesn't mean you're free to practise inhumanity,tusijifiche kwenye kichaka cha taifa huru kutenda unyama.
Kama kweli una uhakika na waraka wako, mwambie rais pia azuie gesi isiende China, maana gesi ina thamani kuliko dhahabu, acha kujipendekeza simamia ukweli, mwogope Mungu na siyo binadamu, Duniani tunapita tu, our permanent shelters are in heaven.
Halafu asipolipwa anaanza kulia lia eti kamfuata katibu WA CCM mara hapokei simu acha ajipendekeze tuShigongo anaangalia tenda ya kupiga Pesa za uchapishaji 2020 MTU anaye jali Pesa hata Kwa kuharibu jamii na vijarida vyake vya udaku hana tofauti gani na msiba anayeandika chochote maadamu tu asife njaa.