My Open Letter to Eric Shigongo

Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????

Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???

Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui

Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????

Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????

Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!

Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????

Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????

Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!

VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Watanzania tumegawanyika sana pamoja na sifa zote unazompa magufuli bado ana kasoro nyingi juu ya haki za binadamu.Kwa cheo cha urais hatakiwi awe katili kiasi hicho cha kuua watu nk.pia matamshi take hayana hekima anahitaji arekebishe hapo ili awe aache historia nzuri itakayoandikwa Kwa muda mrefu
 
Sawa basi haƴa tusitegemee misaada yao wala tusijali watakapotuwekea vikwazo vƴa kiuchumi ..tuendelee kusubiria hela za makinikia tuendeshe nchi au vipi
Unategemea kwa mindset kama hizi Tanzania tutaendelea?????

Tunakosoa wenzetu tu ila hata ww ukipewa madarka utafanya ya hovyo kbsa!!!
 
Naomba niweke msisitizo kwenye hili neno la "sovereignty". Hili neno linatumika vibaya na watu kama akina Shigongo kwa makusudi au kwa kutokujua . Hakuna sovereignty kwenye haki za binadam. Huwezi ukaachwa ukaua wananchi wako kwa kudai kwamba upo huru.

Kwa mfano mzuri katika ngozi ya familia baba hawezi kuwatesa mkewe na watoto akadai kwamba yeye ndiyo head of the family kwa hiyo asiingiliwe na majirani. Hiki ndicho CCM na wapambe wake uchwara kama Shigongo wanakifanya.
 
Thread hii tu inaonyesha jinsi taifa lilivyogawanyika tayari. Tukipata silaha tu basi moto unawaka. Ndicho CCM mnachokitaka
 
Akili za watu waliozaliwa kwenye mbio za mwenge!!!huna tofauti na hayawani au utakuwa hayawani kabisa!!!
Inaumiza wakati unataka maoni yako yasikilizwe na JPM wakati wewe unaona mwenye maoni dhidi yako si binadamu. Kwa minajiri hiyo JPM kutotaka maoni naye yupo sahihi basi. Inabidi kila mtu akubali kupokea maoni kinzani na yanatakiwa kuanza na nyie kwanza
 
Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????

Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???

Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui

Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????

Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????

Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!

Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????

Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????

Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!

VivaShigongovivamagufulivivatanzania
hivi ujinga huwa ni mazingira ama wa kurithi ...

kwa kua sehemu nyingine mauaji yanafanyika na Tz yakifanyika basi ni sawa

mbona wengine wanaomba waombewe kwa nini tusiwaombee kifo kwa kuwa sehemu nyingine pia wanakufa

acha ujinga, ushoga ni mbaya na hatuungi mkono ila maazimio mengine yote tunayaunga mkono.
 
Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????

Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???

Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui

Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????

Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????

Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!

Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????

Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????

Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!

VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Sema MIMI usitusemee tafadhali,hayo ni mawazo ya shigongo kama shigongo nawe unaruhusiwa kutoa yako ila usiseme tupo sema NIPO
 
Mpuuzi kweli wewe,nimemtukana shigongo wapi?
Umeniudhi sana,ushabiki maandazi mnashabikia mtu badala ya taifa mtakoma no way hivyo vimishahara mnavyolipwa kuitetea ccm hamtaviona kamwe,na hutaropoka viva tena,maana mtakuwa mmelazwa ICU kwa njaa.
Kwanza naomba usome reference hii ya kibiblia ndo nkujibu hoja hii

Mungu aliwaambia wana wa Israel walipokuwa wanavuka mto Yordan akasema " sikiliza ee Israel hivi leo unataka kuvuka yordan uingie kwa kuwamiliki mataifa yaliyo makubwa na yenye nguvu kupita wewe, miji mikubwa iliyojengewa kuta hata mbinguni watu wakubwa, warefu, wana Wanaki, uwajuao uliokuwa ukisikia wakitajwa hivi, ninani awezaye kusimama mbele ya wa Anaki ? Basi jua siku hii ya leo kuwa BWANA Mungu wako, ndiye atanguliaye kuvuka mbele yako kama Moto uteketezao :atawaangamiza , tena atawaangusha mbele yako : ndivo utakavyowafukuza na kuwapoteza upesi kama alivyokuambia BWANA. Kumbu x2 9:1-6)

Pia "Basi jua ya kuwa BWANA mungu wako hakupi nchi hii nzuri uimiliki kwa haki yako, kwa maana u taifa lenye shingo ngumu. Ni kwa sababu ya uovu wa mataifa haya BWANA awafukuza nje mbele yako, ( kumbu kumbu la Toroti 9:6,1-5)

Naomba uchambue vzr hapa then najibu hoja zako
 
Watanzania tumegawanyika sana pamoja na sifa zote unazompa magufuli bado ana kasoro nyingi juu ya haki za binadamu.Kwa cheo cha urais hatakiwi awe katili kiasi hicho cha kuua watu nk.pia matamshi take hayana hekima anahitaji arekebishe hapo ili awe aache historia nzuri itakayoandikwa Kwa muda mrefu
Kaua nani mkuu??? Na wapi umethibitisha??? Je umefungua kesi mahakamni????
 
Sema MIMI usitusemee tafadhali,hayo ni mawazo ya shigongo kama shigongo nawe unaruhusiwa kutoa yako ila usiseme tupo sema NIPO
Bado niko sahihi nmewakilisha watz waliompgia kura Plus wanomuunga mkono nikiwemo mie so bado plurality yangu iko valid
 
Naomba niweke msisitizo kwenye hili neno la "sovereignty". Hili neno linatumika vibaya na watu kama akina Shigongo kwa makusudi au kwa kutokujua . Hakuna sovereignty kwenye haki za binadam. Huwezi ukaachwa ukaua wananchi wako kwa kudai kwamba upo huru.

Kwa mfano mzuri katika ngozi ya familia baba hawezi kuwatesa mkewe na watoto akadai kwamba yeye ndiyo head of the family kwa hiyo asiingiliwe na majirani. Hiki ndicho CCM na wapambe wake uchwara kama Shigongo wanakifanya.
Goja nikupe shule kidg!!! Maana ww ndo kbsaa hujui sovereignty ni nn

Sovereignty is the freedom that a country has to govern itself. This Means that there is no external power that controls that country!!!

Lakn pia elewa zipo aina mbili za sovereignty ambazo ni

A. Internal sovereignty this means the power a country has to supervise all its internal affairs,, sasa jiulize hapa kivipi waingie hawa jamaa zako unaowasifia

B inaitwa external sovereignty the power a country has to form its foreign policy sasa hebu jiangalie ujitathmni nani yupo sahihi kati yako na shigongo
 
Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????

Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???

Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui

Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????

Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????

Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!

Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????

Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????

Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!

VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Mungu gani atampigania rais katli, muuaji, mtekaji, mtesaji na mbadhirifu wa kodi zetu anaitumia kama hela yake binafsi. Watu wote mnaomtetea ni wale anaowalipa au wanaojipendelea ili wanufaike binafsi. Hakuna mwenye akili timamu na huru atakubali dikteta huyu
 
Inaumiza wakati unataka maoni yako yasikilizwe na JPM wakati wewe unaona mwenye maoni dhidi yako si binadamu. Kwa minajiri hiyo JPM kutotaka maoni naye yupo sahihi basi. Inabidi kila mtu akubali kupokea maoni kinzani na yanatakiwa kuanza na nyie kwanza
Ubarikiwe sana ndg nmeguswa saaaaaaan na mawazo yako
 
Hakuna vita yeyote ulimbukeni tu watanzania
Mmezoea kudanganywa tu
Hii nchi ina rasilimali gani kubwa ya kuifanya dunia itungalie na hta watu kupigana kuichukua
 
Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????

Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???

Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui

Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????

Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????

Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!

Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????

Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????

Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!

VivaShigongovivamagufulivivatanzania

Humu unamtetea ila ukikaa kwenye vijiwe vya kahawa na wenzako una mtetea, huu ni unafiki wa ngazi ya PHD.

''Wazungu wanasema better the Devil you know, than the Angel you dont know''
 
Back
Top Bottom