My Open Letter to Eric Shigongo

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
3,620
Points
2,000

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
3,620 2,000
Ndugu yangu Eric,imefika wakati sasa nikueleze wazi kwamba wewe ni mnafiki na huna hofu ya Mungu bali una hofu ya serikali kwa sababu ya kuogopa maslahi yako kuguswa.

Taifa lipo pabaya tangu rais Magufuli aingie madarakani 2015.

Magufuli ni rais wetu sote,haitakiwi tumwogope bali tumwambie ukweli halisi bila kujali madhira yanayotukuta.

Lakini wewe unataka kutufanya siye hatuipendi nchi yetu ila wewe unaipenda sana.

Umeandika waraka wa hovyo mno kupinga maazimio ya EU juu Tanzania, kwamba EU inatuonea kwa sababu eti Rais anatetea raslimali Kama dhahabu baada ya kuzuia makinikia.
Waraka wako umejaa vichekesho kweli,ni waraka wa mtu muoga anayejipendekeza kwa serikali.

Tujadili kuhusu Raslimali,Rais hapigani vita ya raslimali bali anapigana kufuta amani ya nchi ambayo Mungu ametupatia kwa miaka mingi,anavunja katiba aliyoapa kuilinda kwa kunyanyasa wapinzani,mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa sheria na shughuli zote za kidemokrasia,lakini yeye anawaona wapinzani ni maadui wakubwa wa nchi.

1. Alphonce Mawazo aliuawa na watu wanaodhaniwa kuwa wana ccm hadi Leo hakuna aliyekamatwa kwa matukio hayo.

2. Ben Saanane alitekwa na kupotezwa na watu wanaodhaniwa TISS,lakini hadi Leo jalada la kesi yake limefungwa na Police

3. Tundu Lissu alipigwa risasi

4. Kanguye wa Kigoma alitekwa na kupotezwa

5. Azori Gwanda alitekwa na kupotezwa

6. Kijana Eric wa Sinza alitekwa na kupotezwa

7. Daniel wa kinondoni alitekwa na kuuawa

8. Makumi ya maiti zikiwa zimefungwa kwenye viroba zimetupwa baharini

9. Akwilina alipigwa risasi na Police kesi kapewa Mbowe

Yote hayo kwako ni sifuri halafu unajiita mcha Mungu, are you serious? Hujawahi kuandika waraka wowote kuumizwa na hayo matukio na wala kuitaka serikali iwajibike.

Umekuja kuibuka unaandika waraka kusema upo pamoja na Rais, unadhani ni nani yupo kinyume na Rais? Sote tupo pamoja naye lakini hili la serikali kukiuka haki za binadamu hatupo naye,na ndo msingi wa maazimio ya EU.

Suala la ushoga, lisiwe kiki, EU haijawahi kuipangia nchi yoyote mambo yake wala kuilazimisha ikubali ushoga.

Inachopinga EU ni tabia ya serikali ya awamu ya tano kutenda ukatili dhidi ya watu wake.

Hii nchi ni yetu sote, unadhani siye tunapenda iharibiwe?

Kwanini EU ionekane mbaya Leo hii na siyo awamu zingine zote? ina maana marais wengine walikuwa hawafai?

Yaani Dunia itazame tu unyama ukifanyika eti wasiseme kwa sababu we're the sovereign state, being a sovereign state doesn't mean you're free to practise inhumanity,tusijifiche kwenye kichaka cha taifa huru kutenda unyama.

Kama kweli una uhakika na waraka wako, mwambie rais pia azuie gesi isiende China, maana gesi ina thamani kuliko dhahabu, acha kujipendekeza simamia ukweli, mwogope Mungu na siyo binadamu, Duniani tunapita tu, our permanent shelters are in heaven.
 
Lucas philipo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Messages
1,075
Points
2,000

Lucas philipo

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2017
1,075 2,000
Ndg nmesoma uzi wako kwa Eric Shigongo nikabaki nashangaa tu!!

Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????

Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???

Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui

Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????

Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????

Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!

Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????

Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????

Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!

VivaShigongovivamagufulivivatanzania
 
debbug

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2018
Messages
356
Points
500

debbug

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2018
356 500

yaan hii ni logic nzur san kukatisha huu uzi wakipumbavu kiukweli mm sio mwanasiasa na kuna mambo simuungi mkono magufuri kwa asilimia zote lakin kwa hili nasema tena kwa hilii nipo nae na ww bega kwa bega
 
Timiza

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2017
Messages
5,149
Points
2,000

Timiza

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2017
5,149 2,000
Acha uongo team tumbo,team maslai,mtarudi tu bush kuchunga ng'ombe sio kuongoza watu.Sababu una shiba Kwa shemeji,yanayoendelea hata mtoto anayajua.To a miwani ya mbao vaa vya waliobomolewa nyumba zao,mke wa azori,familia ya Ben,25%mafao,Watumishi kisha njoo uongee.

Ahsante
 
Lucas philipo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Messages
1,075
Points
2,000

Lucas philipo

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2017
1,075 2,000
yaan hii ni logic nzur san kukatisha huu uzi wakipumbavu kiukweli mm sio mwanasiasa na kuna mambo simuungi mkono magufuri kwa asilimia zote lakin kwa hili nasema tena kwa hilii nipo nae na ww bega kwa bega
Ni kweli ndg nashukuru!!!!

Changamoto zipo kwani Magufuli mengi hajayaweka Sawa ila kutegemea mataifa ya nje Kuja kusolve matatizo yet hii hapana!!!!
 
Concoction

Member
Joined
Nov 1, 2017
Messages
52
Points
125

Concoction

Member
Joined Nov 1, 2017
52 125
Ndg nmesoma uzi wako na matusi uliyomtolea Eric Shigongo nikabaki nashangaa tu!!

Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????

Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???

Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui

Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????

Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????

Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!

Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????

Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????

Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!

VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Crap!!!
 
andjul

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Messages
15,636
Points
2,000

andjul

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2013
15,636 2,000

Kama umemsoma vizuri mleta mada amegusia vipengele viwili, usalama wa raia (matukio tisa) na gesi kukwapuliwa na China. Swali la kujiuliza ni je, hayo yote aliyo yataja mleta mada ni kweli yali/yanatendeka na serikali imenyamaza kimya? Kama serikali imenyamaza kimya, Shigongo amewahi kuandika walaka wa kuguswa na kuishauri serikali kwa matukio hayo?
Nchi ni ya kwetu sote, tukosoane kwa staha. Wote tuna ipigania Tanzania. Samahani kama nitakuwa nimetumia lugha ya kukwaza.
 
Ndg umejibu kistaarabu sana!!!

Ila hoja yang pia ni kwmba huwezi kumpangia mtu aseme nini na wapi Kwahyo Shigongo kma mtanzania anayohaki kutoa maoni yake na logic hapa syo kwann atoe maoni na jibu hapa ni kwmba hili swala kwasasa liko kitaifa zaidi!!!!

Na wengi tunafikiri hawa watakuja kutuondolea matatzo yetu ya ndani la hashaaa kabsaa teeena hapa tuweni makini ni kweeli shida zipo ila kutegemea hawa na kuleta uzi kbsa et mnapongeza hii ni hatariiiiii
 
mmangO

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
622
Points
1,000

mmangO

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
622 1,000
Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????

Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???

Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui

Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????

Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????

Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!

Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????

Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????

Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!

VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Sawa basi haƴa tusitegemee misaada yao wala tusijali watakapotuwekea vikwazo vƴa kiuchumi ..tuendelee kusubiria hela za makinikia tuendeshe nchi au vipi
 
Mpuuzi kweli wewe,nimemtukana shigongo wapi?
Umeniudhi sana,ushabiki maandazi mnashabikia mtu badala ya taifa mtakoma no way hivyo vimishahara mnavyolipwa kuitetea ccm hamtaviona kamwe,na hutaropoka viva tena,maana mtakuwa mmelazwa ICU kwa njaa.
 
Forum statistics

Threads 1,379,337
Members 525,390
Posts 33,743,655
Top