kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,002
- 9,091
Hata mtoa mada huwezi kumpangia nini aseme na wapi asemeNdg umejibu kistaarabu sana!!!
Ila hoja yang pia ni kwmba huwezi kumpangia mtu aseme nini na wapi Kwahyo Shigongo kma mtanzania anayohaki kutoa maoni yake na logic hapa syo kwann atoe maoni na jibu hapa ni kwmba hili swala kwasasa liko kitaifa zaidi!!!!
Na wengi tunafikiri hawa watakuja kutuondolea matatzo yetu ya ndani la hashaaa kabsaa teeena hapa tuweni makini ni kweeli shida zipo ila kutegemea hawa na kuleta uzi kbsa et mnapongeza hii ni hatariiiiii