My Open Letter to Eric Shigongo

My Open Letter to Eric Shigongo

"There is no free lunch".
Nashangaa wanaopingana na rais wetu na kuunga mkono sela au matamko ya nchi za ulaya EU, sidhani kama hawa wana lengo jema kwa tawala zote zilizopita hapakuwa na kutofautiana je nini tulinufaika nacho toka kwao zaidi ya kuondoka na raslimali zetu? Kutuachia mashimo ya baada ya kuchimba dhahabu zetu, kacha marundo ya mchanga mwadui na kuondoka na almasi zetu? Kuondoka na maliasili zetu na kutuachia neti na kondom,.
To be honest watanzania inabidi tuaimame na rais wetu na tuwe tayari kwa lolote hapo ndipo tutapata economic freedom. In economic there ia no free lunch, we must be lead to pay for all bills.
Tutasimama kumtoa madarakani,mwizi Dikteta uchwara huyo,hao wachina ndo wana free lunch?
 
yaan hii ni logic nzur san kukatisha huu uzi wakipumbavu kiukweli mm sio mwanasiasa na kuna mambo simuungi mkono magufuri kwa asilimia zote lakin kwa hili nasema tena kwa hilii nipo nae na ww bega kwa bega
Tena mimi naongezea,hawa watu wanataka kutufanya watanzania wote ni mazuzu.
Lakini tuwaeleze wajuwe kwamba, wao hao wanaojidai kuishukuru EU na Us. Ndio hao hao wanaopika majungu na visa kisha wanavipeleka huko kwa mabwana zao.

Tunaelewa yote hii inatokana na serikali kubana mianya na mirija yao yote waliyokuwa wakitumia kujinufaisha wao na familia zao pamoja na washirika wao, ambao kwa hii awamu yatano wamewekwa pembeni.

Tunajuwa wanaiona 2020 ikikaribia, huku wananchi wakishuhudia kazi kubwa ya JPM na wao wakiwa hawajakusanya hela za kampeni chafu, kama walivyokuwa wamezowea.
Lakini waelewe sisi wananchi tuna macho pia.
Na tunajuwa 2020 kura zetu tunampa JPM amalizie kazi.
Hawa vibaraka wa ushoga shauri yao.

HIVI HAWAJUI LUMUMBA ALIUWAWA NA WABELGIJI HAO HAO AMBAO LEO, ETI WANAONEKANA KWA CHADEMA KAMA MARAFIKI WA UKWELI??
Yote ikiwa ni shauri ya kuwapinga kwa kupora maliasili za Congo.
Wakamuuwa kwa kusaidiwa na US.
Saa ingine msome historia namjitambuwe utu wenu kabla ya kujitoa akili.

Shame on all of you wana mkakati EU.
Tunawajua na tunawaona.
Mungu ibariki Africa na Tanzania kwa ujumla, utuepushe na haya manduli machumia tumbo.
Amen.
 
Poole sana ndg!!!

Sasa Kati ya watu wenye nchi na wewe unayelalamika kila siku nani mjinga????

Kama hoja zako ni kuntu kwanini huna wafuasi sasa???? Kwann chama chako kisiingie madarakani??? Hapa nani mjinga???

Hv kichaa aje akukute uko unaoga then achukue nguo zako halafu ww uanze kumkimbiza ukiwa uchi nayey akiwa na nguo kichaa na mwehu hapo ni nani?????

Jifunze kuwa mstaarabu kwenye mijadala kama hii utakufa mapema ndg!!!! Kuwa na hekima ili uweze kupunguza uwezekano wa kuwaudhi watu wastaarabu wengne kwenye uzi wako?!!

Pia elewa wapo wanaokuzidi umri hvyo lugha hii syo Sawa ila hasra ztakuja kukuponza siku moja!!!!

Pia nashangaa kumtukana Magufuli kwamba ni dikteta wakat kwa maelezo yako haya ww ni booooonge la dikteta!!!

Wewe ni dikteta mkuuubwa mwache Magufuli apige kazi ndg
Unanitishia kifo wewe mpumbavu? Staki ustaarabu na muuaji kama wewe, na sitakufa mapema bali utakufa wewe na huyo Dikteta wako na kuniacha nikiwa hai,huna lolote unalojua,kaa kimya wanaume tumjadili Dikteta.
 
Ndugu yangu Eric,imefika wakati sasa nikueleze wazi kwamba wewe ni mnafiki na huna hofu ya Mungu bali una hofu ya serikali kwa sababu ya kuogopa maslahi yako kuguswa.

Taifa lipo pabaya tangu rais Magufuli aingie madarakani 2015.

Magufuli ni rais wetu sote,haitakiwi tumwogope bali tumwambie ukweli halisi bila kujali madhira yanayotukuta.

Lakini wewe unataka kutufanya siye hatuipendi nchi yetu ila wewe unaipenda sana.

Umeandika waraka wa hovyo mno kupinga maazimio ya EU juu Tanzania, kwamba EU inatuonea kwa sababu eti Rais anatetea raslimali Kama dhahabu baada ya kuzuia makinikia.
Waraka wako umejaa vichekesho kweli,ni waraka wa mtu muoga anayejipendekeza kwa serikali.

Tujadili kuhusu Raslimali,Rais hapigani vita ya raslimali bali anapigana kufuta amani ya nchi ambayo Mungu ametupatia kwa miaka mingi,anavunja katiba aliyoapa kuilinda kwa kunyanyasa wapinzani,mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa sheria na shughuli zote za kidemokrasia,lakini yeye anawaona wapinzani ni maadui wakubwa wa nchi.

1. Alphonce Mawazo aliuawa na watu wanaodhaniwa kuwa wana ccm hadi Leo hakuna aliyekamatwa kwa matukio hayo.

2. Ben Saanane alitekwa na kupotezwa na watu wanaodhaniwa TISS,lakini hadi Leo jalada la kesi yake limefungwa na Police

3. Tundu Lissu alipigwa risasi

4. Kanguye wa Kigoma alitekwa na kupotezwa

5. Azori Gwanda alitekwa na kupotezwa

6. Kijana Eric wa Sinza alitekwa na kupotezwa

7. Daniel wa kinondoni alitekwa na kuuawa

8. Makumi ya maiti zikiwa zimefungwa kwenye viroba zimetupwa baharini

9. Akwilina alipigwa risasi na Police kesi kapewa Mbowe

Yote hayo kwako ni sifuri halafu unajiita mcha Mungu, are you serious? Hujawahi kuandika waraka wowote kuumizwa na hayo matukio na wala kuitaka serikali iwajibike.

Umekuja kuibuka unaandika waraka kusema upo pamoja na Rais, unadhani ni nani yupo kinyume na Rais? Sote tupo pamoja naye lakini hili la serikali kukiuka haki za binadamu hatupo naye,na ndo msingi wa maazimio ya EU.

Suala la ushoga, lisiwe kiki, EU haijawahi kuipangia nchi yoyote mambo yake wala kuilazimisha ikubali ushoga.

Inachopinga EU ni tabia ya serikali ya awamu ya tano kutenda ukatili dhidi ya watu wake.

Hii nchi ni yetu sote, unadhani siye tunapenda iharibiwe?

Kwanini EU ionekane mbaya Leo hii na siyo awamu zingine zote? ina maana marais wengine walikuwa hawafai?

Yaani Dunia itazame tu unyama ukifanyika eti wasiseme kwa sababu we're the sovereign state, being a sovereign state doesn't mean you're free to practise inhumanity,tusijifiche kwenye kichaka cha taifa huru kutenda unyama.

Kama kweli una uhakika na waraka wako, mwambie rais pia azuie gesi isiende China, maana gesi ina thamani kuliko dhahabu, acha kujipendekeza simamia ukweli, mwogope Mungu na siyo binadamu, Duniani tunapita tu, our permanent shelters are in heaven.
@eric shigongo na Pascal Mayalla ni kabila moja na JPm ulitaka wampinge wa kwao.
Hawa wote wanamuogopa kumwambia ukweli ndugu yao madudu anayoyafanya kwenye hili taifa
 
Ndg nmesoma uzi wako kwa Eric Shigongo nikabaki nashangaa tu!!

Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????

Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???

Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui

Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????

Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????

Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!

Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????

Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????

Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!

VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Devils advocates, rais anapambana vita ipi ya uchumi atwambie ile 1.5T iko wapi.

Mashetani yanakufa ila hayamaliziki( one monister die another one come)
 
Maelezo yako hayafuti uhalisia kuwa wewe huna akili,umri wako haunihusu,mwombe Mungu akupe hekima kama mfalme Suleiman, Magufuli anapiga kazi ya kuvuruga uchumi wa nchi na kuua wote wanaompinga,na wewe juha muuaji una tetea.
Amefikia hatua ya kuuza nchi kwa Rwanda na kupewa ulinzi na Rwanda, sasa hivi kagame ana m remote atakavyo,na kwa sababu huna akili usiyefikiria kesho yako ndo maana kinyesi unaita keki.
HapaKaziTu
 
Tena mimi naongezea,hawa watu wanataka kutufanya watanzania wote ni mazuzu.
Lakini tuwaeleze wajuwe kwamba, wao hao wanaojidai kuishukuru EU na Us. Ndio hao hao wanaopika majungu na visa kisha wanavipeleka huko kwa mabwana zao.

Tunaelewa yote hii inatokana na serikali kubana mianya na mirija yao yote waliyokuwa wakitumia kujinufaisha wao na familia zao pamoja na washirika wao, ambao kwa hii awamu yatano wamewekwa pembeni.

Tunajuwa wanaiona 2020 ikikaribia, huku wananchi wakishuhudia kazi kubwa ya JPM na wao wakiwa hawajakusanya hela za kampeni chafu, kama walivyokuwa wamezowea.
Lakini waelewe sisi wananchi tuna macho pia.
Na tunajuwa 2020 kura zetu tunampa JPM amalizie kazi.
Hawa vibaraka wa ushoga shauri yao.

HIVI HAWAJUI LUMUMBA ALIUWAWA NA WABELGIJI HAO HAO AMBAO LEO, ETI WANAONEKANA KWA CHADEMA KAMA MARAFIKI WA UKWELI??
Yote ikiwa ni shauri ya kuwapinga kwa kupora maliasili za Congo.
Wakamuuwa kwa kusaidiwa na US.
Saa ingine msome historia namjitambuwe utu wenu kabla ya kujitoa akili.

Shame on all of you wana mkakati EU.
Tunawajua na tunawaona.
Mungu ibariki Africa na Tanzania kwa ujumla, utuepushe na haya manduli machumia tumbo.
Amen.
Hakika umenena mh nmeipenda umeongea ukweli mtupu!!!!
 
Ndugu yangu Eric,imefika wakati sasa nikueleze wazi kwamba wewe ni mnafiki na huna hofu ya Mungu bali una hofu ya serikali kwa sababu ya kuogopa maslahi yako kuguswa.

Taifa lipo pabaya tangu rais Magufuli aingie madarakani 2015.

Magufuli ni rais wetu sote,haitakiwi tumwogope bali tumwambie ukweli halisi bila kujali madhira yanayotukuta.

Lakini wewe unataka kutufanya siye hatuipendi nchi yetu ila wewe unaipenda sana.

Umeandika waraka wa hovyo mno kupinga maazimio ya EU juu Tanzania, kwamba EU inatuonea kwa sababu eti Rais anatetea raslimali Kama dhahabu baada ya kuzuia makinikia.
Waraka wako umejaa vichekesho kweli,ni waraka wa mtu muoga anayejipendekeza kwa serikali.

Tujadili kuhusu Raslimali,Rais hapigani vita ya raslimali bali anapigana kufuta amani ya nchi ambayo Mungu ametupatia kwa miaka mingi,anavunja katiba aliyoapa kuilinda kwa kunyanyasa wapinzani,mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa sheria na shughuli zote za kidemokrasia,lakini yeye anawaona wapinzani ni maadui wakubwa wa nchi.

1. Alphonce Mawazo aliuawa na watu wanaodhaniwa kuwa wana ccm hadi Leo hakuna aliyekamatwa kwa matukio hayo.

2. Ben Saanane alitekwa na kupotezwa na watu wanaodhaniwa TISS,lakini hadi Leo jalada la kesi yake limefungwa na Police

3. Tundu Lissu alipigwa risasi

4. Kanguye wa Kigoma alitekwa na kupotezwa

5. Azori Gwanda alitekwa na kupotezwa

6. Kijana Eric wa Sinza alitekwa na kupotezwa

7. Daniel wa kinondoni alitekwa na kuuawa

8. Makumi ya maiti zikiwa zimefungwa kwenye viroba zimetupwa baharini

9. Akwilina alipigwa risasi na Police kesi kapewa Mbowe

Yote hayo kwako ni sifuri halafu unajiita mcha Mungu, are you serious? Hujawahi kuandika waraka wowote kuumizwa na hayo matukio na wala kuitaka serikali iwajibike.

Umekuja kuibuka unaandika waraka kusema upo pamoja na Rais, unadhani ni nani yupo kinyume na Rais? Sote tupo pamoja naye lakini hili la serikali kukiuka haki za binadamu hatupo naye,na ndo msingi wa maazimio ya EU.

Suala la ushoga, lisiwe kiki, EU haijawahi kuipangia nchi yoyote mambo yake wala kuilazimisha ikubali ushoga.

Inachopinga EU ni tabia ya serikali ya awamu ya tano kutenda ukatili dhidi ya watu wake.

Hii nchi ni yetu sote, unadhani siye tunapenda iharibiwe?

Kwanini EU ionekane mbaya Leo hii na siyo awamu zingine zote? ina maana marais wengine walikuwa hawafai?

Yaani Dunia itazame tu unyama ukifanyika eti wasiseme kwa sababu we're the sovereign state, being a sovereign state doesn't mean you're free to practise inhumanity,tusijifiche kwenye kichaka cha taifa huru kutenda unyama.

Kama kweli una uhakika na waraka wako, mwambie rais pia azuie gesi isiende China, maana gesi ina thamani kuliko dhahabu, acha kujipendekeza simamia ukweli, mwogope Mungu na siyo binadamu, Duniani tunapita tu, our permanent shelters are in heaven.
Hopeless thread!
 
yaan hii ni logic nzur san kukatisha huu uzi wakipumbavu kiukweli mm sio mwanasiasa na kuna mambo simuungi mkono magufuri kwa asilimia zote lakin kwa hili nasema tena kwa hilii nipo nae na ww bega kwa bega
Ni mambo gani hayo usiyomuunga mkono ambayo unataka wengine na EU waunge mkono? Hebu yaainishe hapa...
 
Tutasimama kumtoa madarakani,mwizi Dikteta uchwara huyo,hao wachina ndo wana free lunch?
China they are not influenced by "Ethnocentrism" wanafanya biashara tu na biashara haiingilii tamaduni za nchi huska, Eu wanaitaka tanzania ifute kifungu kinachozuia ushoga kitu ambacho in real sense hakiingii akilini.
 
MTALIA SANA HUYO MNAE MPAKA 2025 NA BAADA YA HUYO ANAMUACHIA KIJANA WAKE MAJALIWA MOTO CHINI KWA CHINI.
Majaliwa huyuhuyu wakupigwa pamoja na shangazi zake?, Majaliwa huyuhuyu wa kushushuliwa hadharani?, au ni Majaliwa mwingine?.

Lakini usifikri kuwa ni watu wote wanapendezwa na kile kinachofanywa na mkuu hata kama wako ndani ya serekali yake, anaweza akamuachia Majaliwa akitegemea kuwa ndiye mtu sahihi wa kuendeleza mambo yake na kutunyoosha,matokeo yake akaja kunyooshwa mwenyewe na Majaliwa.

Kama alivyofanyiwa chiluba aliyekuwa rais wa Zambia ambaye aliona kuwa kumuachia Mwanawasa itakuwa salama kwake na mambo yake yataendelea kuwa salama kinyume na alivyotegemea alitupwa jela,usalama wake ulindwe na kuta za jela.
 
Unanitishia kifo wewe mpumbavu? Staki ustaarabu na muuaji kama wewe, na sitakufa mapema bali utakufa wewe na huyo Dikteta wako na kuniacha nikiwa hai,huna lolote unalojua,kaa kimya wanaume tumjadili Dikteta.
Magufuli atawamaliza hadi sasa hamna hata sera uchaguzi umekaribia hamna hata hela za kampeni mnampa Mbowe atawakamua hadi mashati mnakalia kujadili nguli wa afrika!??? Baba wa taifa wa pili na kioo cha viongozi wote Africa na duniani kwa sasa!!!!

Jiandaeni!!! Mlizoea kupiga kelel mnapewa hela Magufuli nooooo mnahaha kila kona mbuzi nyieeeee teena Magufuli kawawezq kweeli mnadhani nani atawaskia ET UE mtaona sasa unadhani kwenda kuwatembelea ndo nn Tanzania iko imara ni wqchache tu mnajifanya mnajua mtapungua tu
 
@eric shigongo na Pascal Mayalla ni kabila moja na JPm ulitaka wampinge wa kwao.
Hawa wote wanamuogopa kumwambia ukweli ndugu yao madudu anayoyafanya kwenye hili taifa
Unaleta ukabila badala ya kujibu hoja????

Ila unaweza ukawa Sahhi maaana hata Dkt Mashinji hamna akifanyacho Chadema
 
Majaliwa huyuhuyu wakupigwa pamoja na shangazi zake?, Majaliwa huyuhuyu wa kushushuliwa hadharani?, au ni Majaliwa mwingine?.

Lakini usifikri kuwa ni watu wote wanapendezwa na kile kinachofanywa na mkuu hata kama wako ndani ya serekali yake, anaweza akamuachia Majaliwa akitegemea kuwa ndiye mtu sahihi wa kuendeleza mambo yake na kutunyoosha,matokeo yake akaja kunyooshwa mwenyewe na Majaliwa.

Kama alivyofanyiwa chiluba aliyekuwa rais wa Zambia ambaye aliona kuwa kumuachia Mwanawasa itakuwa salama kwake na mambo yake yataendelea kuwa salama kinyume na alivyotegemea alitupwa jela,usalama wake ulindwe na kuta za jela.
Mimi ya huko mbeleni siyajui ila hii ngondo mnayo mpaka mwaka 2025
 
Back
Top Bottom