My Observation:Dar Culture Vs Arusha Culture

My Observation:Dar Culture Vs Arusha Culture

Vijogoo vya Arusha vinapenda kwenda peku, Dar nafuu kidogo
Vimwana vya Dar havina noma ktk kugongwa viboga, Arusha wanabana
 
Kama unajua maana halisi ya neno limbukeni basi ume_miss point mkuu i.e dar ndio malimbukeni hakuna mfano hapa nchini...ila hilo la kuwa violent naunga mkono hoja.

hio comment nimeweka kusudi.....the way unajibu najua wewe ni wa wapi na wa aina gani.....gotcha....
 
Arusha anae gawa ofa Bar/grosali anaitwa Bilionea Dar anaitwa Papaa
 
Magari:Dar vijana wengi wanapenda Verosa,GX100 wadada Harrier Arusha magari yanayo dominate ni Subaru (Forester) kwa vijana Rav4 kwa wadada

Mapenzi:It was argued that "couple nyingi za dar ni wababa kwa wadada kwasababu wababa ndo wenye hela (e.g Mengi na Jacky) while Arusha wadada wengi wako na wakaka as wakaka ndo wenye hela (e.g Mawala). na wakaka wengi wanatembea na wazungu as wazungu wanahela
Mavazi:Dar Vimini kwa sana kwa wadada na bensi kwa wanaume Arusha:Makoti ya leather kwa wakaka na trouser sana kwa wadada
Hairstyle:Dar Kiduku zaidi kwa vijana while Arusha dreadlocks kwa vijana

Silaha:Arusha: Very common kwa wakaka kuwa na Bastola Dar: wababa ndo wenye silaha zaidi

Ongezea kama umeobserve any

ngoja nikujibu sasa.....comment yangu ya kwanza ilikuwa kutega tu......

hivi unazungumzia vijana au watoto,coz mimi ni kijana na vijana niwajuao mimi wala wengi hawaendeshi verosa/gx 110,gx110 na verosa ni watoto wa bongo flava na actor wa maigizo ya bongo....vijana wa mjini hapa wapo crazy na RR,RR SPORTY,Q7,BMW,M.BENZ,G-WAGON,VX V8........

acha kasumba,unasema eti wengi wanatembea na wazungu kisa wazungu ndio wenye hela....kuna wazungu masikini na wenye hela sio kila mzungu ana hela

mavazi ndugu yangu yanategemea na hali ya hewa....dar joto ndio maana vimini,pensi tshirt kwa sana na arusha baridi ndio maana jackets na sweat shirts kwa sana....

watoto(bongo flava) ndio wananyoa kiduku.....vijana wanaojitambua hawanyoi kiduku........


hata dar vijana wanabastola wengi tu ila wanaziweka ipasavyo sio kuonyesha onyesha hovyo,kwahio usipoiona usifikiri watu hawana.....watoto wa arusha kuonyesha bastola ni ulimbukeni tu ndio maana kijana wenu saa hizi ananyea debe kwa show off za bastola........


 
Back
Top Bottom