My new Resolutions..............

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Nimegundua siku za hivi karibuni kama nimeanza kubadilika hivi so nimeamua kufanya maamuzi magumu kama ifuatavyo,
  1. Ntajikita zaidi kwenye kutoa maneno yenye busara na ushauri wa kina kwenye mambo mazito (Ntakuwa zaidi kwenye majukwaa matatu, MMU, Siasa na Great Thinkers)
  2. Ntapunguza sana utani ikiwa na maana kwamba ntapunguza sana uwepo wangu kwenye kajukwaa haka
  3. Ntaruhusu maswali yanayohitaji ushauri wa kina basi

Mwisho nawaageni rasmi jukwaa hili kwa muda kadhaa ntakuwa napita tu kuwapa hi.......
 
kulikoni jamani?? kha! we will miss u! nani kakuudhi?? tema nimchape!
Kwani hata nimeudhiwa jamani cacico! Walaaaaa nimeamua tu kufanya mabadiliko ndani yangu........Nitakuwa napita kuwapa hi though nitawamiss saaana hasa wale ambao hatutakutana kwenye hayo majukwaa nitakayokuwepo mara nyingi.

I will miss you mooooo.........u!
 
Last edited by a moderator:

We will miss you too sooo much! mwahhh to u brotherito kha!
 
Pole na hongera.

Hii ni sawa na kugombea ulaisi, unapunguza muda wa kuongea mizaha na kukonsentreti kwenye mapweint.

Siku nikipata akili ntakujoin.

Bona petii au bon voyage? Chagua linalokuhusu.
 
Pole na hongera.

Hii ni sawa na kugombea ulaisi, unapunguza muda wa kuongea mizaha na kukonsentreti kwenye mapweint.

Siku nikipata akili ntakujoin.

Bona petii au bon voyage? Chagua linalokuhusu.

Hahahaa we sikuagi coz tutakutana tu
 
Pole na hongera.

Hii ni sawa na kugombea ulaisi, unapunguza muda wa kuongea mizaha na kukonsentreti kwenye mapweint.

Siku nikipata akili ntakujoin.

Bona petii au bon voyage? Chagua linalokuhusu.

Leo mimi mkalimani......hapa Kongosho anamwambia M'Jr kwamba alikuwaga anamzimikia siku nyingi na kwamba kwa nini anaondoka na anamwambia akibaki chitchat atampa naniliu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom