MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
afu wewe sijui unaamkaje siku nyingine??????? kwani amekwambia hafaidi? muangalie kwanza
huwa naamka kwa kufumbua macho wewe unaamkaje ?
afu wewe sijui unaamkaje siku nyingine??????? kwani amekwambia hafaidi? muangalie kwanza
kweli st kayumba/ chini ya miti kapa.
Brother madenge8 ndiyo ni wa kizazi hiki. She is just 32 kwa sasa. Mwalimu kwa Diploma but akili yake na virtue zale huwa zinanishangaza....namshukuru Mungu kwa upendeleo alionipa sana
Mengine utakua huyawezi sasa
Jifunze kidogo kuhusu kazi yake
na wajue watu anao fanya nao kazi
ili uweze kumsaidia kwenye decision making....
ili muweze kuwa na kuongea ..ataweza kukushirikisha
mfano annaweza kukupa story ya watu wa ofisin
ukiwa unawajua japo sura utaweza say something kwa jinsi ulivyowasoma sura zao tu
au kama kuna decision inamsumbua kichwa unaweza ongea kitu
that way akiona unajua something utaweza kumshawishi kupunguza masuala ya kazi
sio sifa kuwa workaholic Tanzania hasa kama umeajiriwa...
workaholic nzuri ni ya kujiajiri
Kama hivyo kusingekuwa na malalamiko ya aina yoyote kwa wanawake mbali na mtoa mada, maana hizo holiday zipo toka kitambo.Its why there is holidays
Jifunze kidogo kuhusu kazi yake
na wajue watu anao fanya nao kazi
ili uweze kumsaidia kwenye decision making....
ili muweze kuwa na kuongea ..ataweza kukushirikisha
mfano annaweza kukupa story ya watu wa ofisin
ukiwa unawajua japo sura utaweza say something kwa jinsi ulivyowasoma sura zao tu
au kama kuna decision inamsumbua kichwa unaweza ongea kitu
that way akiona unajua something utaweza kumshawishi kupunguza masuala ya kazi
sio sifa kuwa workaholic Tanzania hasa kama umeajiriwa...
workaholic nzuri ni ya kujiajiri
Hapo ni bora utafute jinsi ya kujipanga wewe maana inategemea na aina ya kazi anayofanya yeye. Kuna kazi zingine huwa balaa, yaani deadlines after deadlines. Haswa yangu ya Software Engineering, muda mwingi najikuta usiku wa manane napiga codes, mke kalala zake zamani.
Huwa nikija huko kwenu Tanzania ndio usipime, nafanya kazi usiku wote maana sina mtu wa kunishangaa.
Mke wangu keshazoea na kila nikipata fursa huwa nawapa treat ya nguvu pamoja na wanangu. Kwa maisha ya sasa, bora jamaa anayejituma na badala ya kulala kwenye sofa ama kwenye klabu akinywa. Yaani mwanaume unapiga kazi kwa bidii halafu tengeneza hela fursa ikipatika un-spoil familia yako hadi wanakosa kujielewa.
cc: kadoda11
Pamoja na kuwa interested na kazi zake, jaribu kumuiba mara kwa mara. Mfano msapraizi na kidate cha dinner. Mfuate ofcn muambie twende mahali kuna bendi ama dinner, ama hata star gazing. Get a together hobby kama swimming ama gym once a week.
good finishing.workaholic nzur ni ya kujiajiri..point noted.
Brother madenge8 ndiyo ni wa kizazi hiki. She is just 32 kwa sasa. Mwalimu kwa Diploma but akili yake na virtue zale huwa zinanishangaza....namshukuru Mungu kwa upendeleo alionipa sana
wadau shukrani kwenu nyote,
ntafanyia kazi na kurespond badae kdogo