My Man is a workaholic

My Man is a workaholic

i have got to emulate you anyway! i bet its the only way to get along with you!

Nah playa.

You really don't need to emulate me in order to get along with me.

I think I am very easy to get along with.

And despite my online persona, I am the most down-to-earth, unassuming, easygoing, laid-back type of guy.

I can basically schmooze with just about anyone on just about anything - from MMA, pumping iron, politricks, geopolitricks, music, haute cuisine, nouvelle cuisine, dating, aviation, and etc.

So there is more than just one way to get along with me.

Matter of of fact, there are numerous ways to get along with me.
 
Hivi wanawake wa hivi mpo kweli..? au ndo unamuundia jamaa zegwe..?
 
I can basically schmooze with just about anyone on just about anything - from MMA, pumping iron, politricks, geopolitricks, music, haute cuisine, nouvelle cuisine,

hahahaaaaaaa can't you put them in simple language?amazing!
 
ivi wanawake wa hivi mpo kweli..? au ndo unamuundia jamaa zegwe..?

inawezekana mkuu mana humu JF kila kitu ni fake! ID fake,avatar fake,kazi fake,makazi fake,mahusiano fake,ushauri fake! BUT naamin wanawake wa hivi wapo wengi tu sema usawa ndo tatizo!
 
inawezekana mkuu mana humu JF kila kitu ni fake! ID fake,avatar fake,kazi fake,makazi fake,mahusiano fake,ushauri fake! BUT naamin wanawake wa hivi wapo wengi tu sema usawa ndo tatizo!

Ni kweli kabisa mkuu na wakati mwingine watu wenye memory kali..wanashangaa huyu ndo anasema hivi wakati sio kabisa
 
"Ananiweka mjini" kwa hii phrase yako inaonekana wewe ni gold digger either consciously au sub consciously.
kabla hajakuoa bila shaka we ulikuwa muuza nyapu.
 
Jifunze kidogo kuhusu kazi yake
na wajue watu anao fanya nao kazi
ili uweze kumsaidia kwenye decision making....

ili muweze kuwa na kuongea ..ataweza kukushirikisha
mfano annaweza kukupa story ya watu wa ofisin
ukiwa unawajua japo sura utaweza say something kwa jinsi ulivyowasoma sura zao tu

au kama kuna decision inamsumbua kichwa unaweza ongea kitu

that way akiona unajua something utaweza kumshawishi kupunguza masuala ya kazi

sio sifa kuwa workaholic Tanzania hasa kama umeajiriwa...
workaholic nzuri ni ya kujiajiri

Nianze kwa kutumia yalonikuta, huenda yakasaidia kitu:
Kutaka kazi isiharibike wakati kuna tatizo ktk maamuzi kwa aliye/walio juu yako, tatizo ktk mgawanyo wa kazi, tatizo kwa unaofanya nao kazi.
Kwa kuwa sikupenda kuona mambo yakiharibika ilikuwa ni kama naishi ili nifanye kazi tu.


Yawezekana naye anahakikisha kazi zinakwenda vizuri....
Pamoja na kujifunza kidogo kuhusu kazi yake, pia chunguza hofu na mapungufu ya partner wako ktk hiyo kazi.

Yawezekana isiwe rahisi sana kumshauri maana yeye ndiye anayefanya hiyo kazi na wewe ni mshauri, but with time itaeleweka.
 
"ananiweka mjini" kwa hii phrase yako inaonekana wewe ni gold digger either consciously au sub consciously, kabla hajakuoa bila shaka we ulikuwa muuza nyapu...

Sio lazima ucomment kila uzi na si lazima kila unachokifikiria lazima ukitoe maana unaweza kujikuta unajivunjia tu heshima yako
 
Mie wangu ilibidi nijifunze baadhi ya mambo ya kazi yake ikawa sometym namsaidia kazi inaisha fasta then we r having fun together, nikiona kachoka sn coz i know him well najua cha kufanya arelax, ckutaka kumuonyesha kuwa cjickii vzr anapofanya sn kazi maana najua ndio kinachotuweka mjini so wht i did was to support him na kumfanya asijisikie kero anapokuja home, maana kazi zinamchosha alafu nami nimchoshe, so nikawa faraja kwake mpaka yaani mwenyewe anajikuta finding a time for us in his busy schedule, and life goes on.
 
Awww congratulation wangu i like such kind of man indeed work's ones magic ila asiwe anachoka sanaaa hio hatar .. kwa upande mwingine pole ila ni vizuri ukafahamu kazi yake kwa undani hata akiwa bize usiumie sana hizi habar za kutoil sana nazo sio nzuri.

Miss you pia
 
kama vipi achana nae maisha yenyewe mafupi yeye yupo busy hata kufaidi hafaidi

Alafu wewe sijui unaamkaje siku nyingine? kwani amekwambia hafaidi? muangalie kwanza
 
mkuu mkeo ni wa kizazi hiki cha nyoka-i mean age!??vyovyote hongera kwa kupata MKE anaejua wajibu wa kua MKE wa mtu!maisha mema

Brother madenge8 ndiyo ni wa kizazi hiki. She is just 32 kwa sasa. Mwalimu kwa Diploma but akili yake na virtue zale huwa zinanishangaza....namshukuru Mungu kwa upendeleo alionipa sana
 
Last edited by a moderator:
Pole, try to entice your man to go on a long vacation, long road travel, Game parks, rural home, if your budget Is flexible go visit Jérusalem, Rome, The Great wall in China or Victoria falls in Zimbabwe! A month long fully packed itinerary away from his routine Will do You both a world of good, You wont regret.
 
Back
Top Bottom