- Thread starter
- #21
ha ha ha kisa cha kumpodoa hivo shurti wanja umekolea kama halat...
Apendeze jamani...nakwambia chezea mlezi wake eeeee
ha ha ha kisa cha kumpodoa hivo shurti wanja umekolea kama halat...
huyo wa brown akizaa mtoto unipe mie...
mh napita tu
Nipe wa brown ndio nawapendaga mie
Pendeza sana sana nyau...Apendeze jamani...nakwambia chezea mlezi wake eeeee
Pendeza sana sana nyau...
akamate panya au utembee naye kwenye gari?huyo wa brown akizaa mtoto unipe mie...
lol vyote...akamate panya au utembee naye kwenye gari?
......
AhsanteeeYour pet is so sexy and sweet.... oh my!
Umempaka nini mdomoni na chini ya macho???????