Girl, you are so beautiful... yaan ur value cannot be compared beyond.
One thing u must know is that, there is a difference between a man and a boy...
Kuna watu no matter how good u might be.. yaan kwao wewe ni shetani.. yaani atakupaka kinyesi. Atakupa shutuma daily. Wewe ndo utaonekana mbaya daily. Such people hata akisikia unapumua anapata hasira anatamani hata akuue.
Majority ya mahusiano tuliyo nayo unakuta ni one sided relationship. Mwenzako unakuta alishamove on muda tu. Uzuri ni kwmaba as long as amekuacha na afya salama hilo tu ndo la msingi. Siku ambayo the other one akimove on its the best feeling ever. Yaani hata usibabaike. Mtu anayekupenda hatokufanya ujisikie kama uko kwenye competition ama kutunia more efforts ili kukeep hayo mahusiano. Yaan **** siku utakutana na prince charming wako na utaona how smooth things are. Fight for ur dreams love. Wengi wamejawa na ubinafsi. Ukishakua na chako watajiletaa hao utachagua kwa nyodo sana... achana na wavulana kabisa. Wastage of time...
Me Amore
