My love story, why am I single

Kuna rafiki yangu aliniambia hakuna mtu asiejua kupenda .hata ujifanye kauzu vipi moyo una stop center yake utadondokea tu hata chizi.
Basi bwana Mimi baada ya kuachana na mtu fulani niliekuwa nampenda sana.baada ya kuona hakuna future nikaona nimute Mimi na kazi busy busy 24/7 kweli nilimsahau kidogo ila siku mbili nawashwa namcheki what'sup uzuri hakunipenda yule bwana so ni kama naforce na Hilo ndo lilinipa nguvu ya kuachana nayo .maana nikijicalculate naona value yangu Ni kubwa Sana bila yeye naishi tu mbona pia napendwa na weengi Mimi tu na moyo wangu mdanganyifu
Basi bwana nimeteseka na yule bwana namuacha siku mbili tatu namuomba turudiane .alivokauzu ananipokea Tena hivo yaani.najitoa najirudisha hivo hivo.kiukweli nilimpenda hata sio kwamba ana hela au Nini hicho Mimi sijui hata hajawai kunipa Wala sijawai kumuomba sina shida kiivo .labda ushauri tu.maana yuko fresh upstairs.nilimpenda Sana tu

Nilimpenda sana.ila nikaona tu niushinde moyo wangu niseme inatosha.ila niseme Ni kazi Sana kumuacha mtu unaempenda japo unajua yeye alishakuacha sijui mnanielewa.yaani unakuwa kwenye mahusiano na mtu hujui hata yanahusu Nini ila unaumia tu


Inaendelea
Nikaendelea na mahusiano hayo on /0ff on / off for years.kwa vile nilimpenda Kila kitu changu namuambia ila yeye sikumjua kiviile halafu since sikutaka kitu kwake zaidi ya yeye mwenyewe sikuona issue sana.nilikuwa nafeel to happy kumpenda .I like loving !!!
Siku moja bna nikaona nianze tu maisha yangu upyaa.
Si unaweza kuwa single tu kiukweli ,empty heart.big visions and dreams.???
Ile siku bna niliumwa siku tatu mtu unamuambia tuachane hata hakuulizi kwanini ,? Hata hakubembelezi nikikumbuka acheni tu it hurts jamani.nikafikiria kutafuta hata mchepuko ila kudanganya mtu kusema kweli siwezi niliumiaaaa nilikuwa na kg 80 nikafika 96

Itaendelea nalia kwanza



Itaendelea ngoja Kuna simu inaita
umezingua!!
 
Miss Natafuta
Inaonyesha unatengena na mpenzi wako pasipo kujua tatizo?

Ukisoma hii mada kwa kutumia miwani ya Sabaya unakuja kukutana na:-

1.Hajawahi nisaidia kitu zaidi ya ushauri

2.Mimi nilikuwa bize siku 2 bila mawasiliano naye sababu ya kazi 24/7

3.Bwana yule hakunipenda
______________________________________

Kwa msaada wa miwani ya sabaya nachangia hoja

Miss Natafuta
Ndani ya moyo wako mapenzi unayotafuta kwa mpenzi wako mpya awe x siyo kipaumbele chako cha kwanza, unachokihitaji kutoka kwa mwanaume yoyote yule, ila unatafuta mwanaume aje akupe mapenzi ili ratiba zako za kimwili zikamilike kama mwanamke uliye kamilika.

Miss Natafuta kuna kitu kinakupa jeuri sana, huwezi kumsikiliza tena mpenzi wako na unataka uwe huru kufanya mambo yako bila kuingiliwa kwa kisingizio hana cha kukusaidia zaidi ya ushauri anaokupa.

ila kumbuka unapokuwa kwenye mahusiano na mpenzi wako, mpenzi wako anajisikia faraja kama yeye anaongoza jahazi la upendo wenu, sasa badala yake wewe ndio upo juu yake na ndiye ulikuwa unayo road map ya mapenzi yenu yote mpaka yatakopoishia na ndio maana umedai umeshangazwa baada ya mahusiano yenu kuvunjika mpenzi wako hajakuuliza kwanini umeamua kuyavunja!!!

kitu ulichonacho kimekuweka juu zaidi na asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume katika mahusiano yenu.

Ndio maana kwenye mahusiano wanaume wanaojitambua hawataki kuwa na wanawake wanaojiona wako juu
 
...
IMG_20210318_095928.jpg
 
Experience ya kusimuliwa na Matured men?

Au?

Haaaawa hawa ?
Dada amka tu tukande maandazi mwaya.
Kusimuliwa wapi? Kukutana nacho uso kwa macho...

Maandazi tayari? Nije na chai ya rangi au maziwa. Haha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom