KAMA NI KWELI; unajua kipi bora na sidhani kama ni coward kiasi cha kung'ang'ania kwa mwanaume na kuamua kuundoa uhai wako na kufikiria kuwa mumeo ni muhimu kuliko wazazi wako ambao hawakotoa mimba yako bali walikutunza na kukulea hadi mumeo akakupenda ukiwa mtu mzima, au kuwa mumeo ni muhimu kuliko mtoto wako ambaye ni damu yako na wewe pia umemleta duniani, na kama wazazi wako walivyokutunza basi nawe unawajibika kumtunza hadi awe mtu mzima.
Sipende kuamini kwamba eti Mungu alikuumba ili uwe mke wa huyo excuse of a husband kiasi kwamba mmaisha bila huyo mume unayaoona 'meaningless'; tena tubu sasa hivi maana umemkufuru Mungu tayari.
Kama mtazamo wangu hauko sahihi na kwamba you are not only a coward but also ungrateful daughter of ur parents and unworthy mother of your child; niambie nikuletee kamba ya kujinyongea au curare ili ujiwekee kwenye chakule maana kama ni hivyo, basi mwanao anastahili a better mother than you na society will be better of without your kind.