My Letter to FP

Miss u too darling..............

Nimekutana na Babu Asprin akielekea kwa Mama Muuza akaniuliza harusi lini?
Nimemwambia asubiri kwanza nijadiliane na wewe..
Japokuwa napendekeza tuifanye as soon as possible ili tujipe muda wa kutosha kwenda hanemuni visiwa vya Fiji..

Au unaonaje Dia?
 
Ni kweli dia, ila sasa tunamsubiri anko Mzee Tupatupa alisafiri kidogo akirudi ndo vikao vya ukoo vikae hapo ndo wataniuliza kama nakufahamu. si ile siivii ulishapeleka? natumaini uliambatanisha na picha yako.
babu Asprin mwambie avute subra
 
Last edited by a moderator:

Niliituma, na nilivyoongea na baadhi ya "wazee" kilabuni kwa Kongosho, wameonesha kunikubali.. Labda wewe ukane kunifahamu 🙂
 
h haaaaaaaaaaaaaa, wale wazee pale kilabuni kwa Kongosho nina uhakika ulitoa rushwa ya pombe, wale ukiwanunulia dumula 2 tu kwishney
 
Last edited by a moderator:
h haaaaaaaaaaaaaa, wale wazee pale kilabuni kwa Kongosho nina uhakika ulitoa rushwa ya pombe, wale ukiwanunulia dumula 2 tu kwishney

Sikuwapa rushwa kweli tena. Wazee huwa hawahongwi, ni dhambi.. Nilichofanya niliwanunulia tu pombe, wakanywa, wakaridhika na kisha wakanishukuru wakasepa zao...
 
Last edited by a moderator:
Bora mana me naona makorokocho tu hapo

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

Hebu acha visa Bana, Makorokocho ndiyo manini?

Sent from my Nokia Tochi 2100 using JamiiForums
 
Si huyo lugha inayoongelewa hapo me naijulia wapi? Kimanga kinaninshinda ntaweza lugha za wazungu mie

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Si huyo lugha inayoongelewa hapo me naijulia wapi? Kimanga kinaninshinda ntaweza lugha za wazungu mie

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

Basi ngoja watakuja wakalimani kukutafsiria..

Sent from my Nokia Tochi 2100 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…