My Letter to FP

chezea the secretary wewe thidanganyiki hata kwa guta we uliona ni mzizi wa mbuyu huwezi kuutoa ukaona ujitangazie dili eti umeniacha nilishasema nimeshasema i do kwa bishanga kwako we ni idont tukunti you undestood?
duniani sijapata on mwanamke mwenye upendo wa dhati kama The secretary,i love you,mmmmmmwwwwwaaaaaa na shavu la pili mmmmmmwwwwaaaaaa....na kwenye kitovu mmmmmwwwwwaaaaaaaa na chini ya kitovu nyamnyamnyam.....
 
Last edited by a moderator:
fp do something
 
haki ya nan nataman siku kuwe na pati ya wanajf live ....kuondoa utata au kama vipi FP na TANMO fanyeni kitu cha engagement part ...muwakutanishe wanajf
 
haki ya nan nataman siku kuwe na pati ya wanajf live ....kuondoa utata au kama vipi FP na TANMO fanyeni kitu cha engagement part ...muwakutanishe wanajf

Mkuu vuta subira kidogo..
Very soon wadau mtaalikwa kwenye Harusi yangu na Binti Mrembo kama Malaika FP...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…