My Letter to FP

waambie kabisa waandae jembe,mbuzi mwenye mimba,jogoo,shoka,shuka,kitenge,unga debe,bila kusahau kanga na shanga kwa ajili yako mlongo wangu!ngoja nimuulize moto2012 kama kuna kitu nimesahau anikumbushe

Ataongeza KIMBAPARA, Ndeve, na mablanketi matatu! Ataleta na myakaya wa mahoka! Asije amevaa Tisheti na Jins
 
Hahahahahaaaa majungu tu ......nimekuambia rudi kwa mkeo wa zamani Preta achana na FP wangu
Hivi hujaona Filipo keshajichukulia sweetlady kiulainiiiii

Tafadhali, tangu Tumeumbwa Preta amekuwa wangu, tangu alipokuwa kigori mimi ninaye, huyo preta gani unayemtaja? Hamkosi majungu, she is mine!! Tumevuka mabonde na milima, kama mnataka kutugombanisha bac mmenoa!!
 

:biggrin1: dah babu ulivyo i format nimeipenda lazima bibie aguswe japo kiduchu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…