My Letter to FP

mmppppphhhhhhhhuuuuuuuuuuuuu, afadhari rafiki yangu AshaDii umekuja labda utanisaidia, si unaona hawa watu wanavyogombana? sasa sijui nifanyeje, mimi nimewaachia wajomba na mashangazi waamue. ila wewe kama rafiki unaweza kunishauri, please

Kumbe kuna dimba hapa? hahaha! Polee na hongera saana rafiq... Hii ni bahati Smile anaisubiria sana... Lol.

Nidokeze basi roho yako ina dunda kwa nani?

Tanmo hana woga, anathubutu, mng'ang'anizi, ana fani nzuri ya uandishi JF Chit Chat wa habari na anakupenda!

B52 ni handsome with a sweet smile, hana uthubutu hadi wenzie wathubutu, na ni mkurugenzi wa JF Chit Chat kikubwa nae anakupenda.

Nasubiri kudokezewa...
 
Ona huyu mzembe yaani akikuwaza tu anaishia kusinzia, wakati mimi nikikuwaza tu naamka usingizini...
Manake there's nothing more that i need than your Image in my Mind...
Hahahahahaaaa majungu tu ......nimekuambia rudi kwa mkeo wa zamani Preta achana na FP wangu
Hivi hujaona Filipo keshajichukulia sweetlady kiulainiiiii
 
Last edited by a moderator:
hapa mimi mwenyewe hoi, hata sijui nianzie wapi......... Erickb52 sijui alikuwa na hilo wazo lakini hakutaka kuliweka wazi mpaka mwenzie alipolianzisha au ameingilia tu ili aendelee kuniona nipo single (maana nasikia keshajaza lori) TANMO alianza muda kidogo, mara hapati usingizi ananiota mimi tu (sijui ananiota akiwa macho?), mara anaponiota anageuza tisheti ili na mimi niote (lakini hiyo dawa yake haijanitembelea bado). kubwa zaidi kwa TANMO kuna wifi mtarajiwa sweetlady who can do anything just to win me...... si bahati hiyo rafiki yangu?
wasi wasi wangu............................ hawa wote ni serengeti boys.................. sasa mambo ya kuja kuulilia moyo baadae ntaweza wapi na uzee huu?
 
Last edited by a moderator:


Tatizo hapo pekundu hapo... Hilo huwaga tatizo sana. Lol. sasa ni wewe kuchagua kusuka ama kunyoa, udumbukie ukijua fika ni disposable ama ukwepe kabisa kusubiri ya kudumu... Ila upande wa pili wa shilingi ni raha sana Serengeti akupende kwa dhati na kaacha size yake, that says a lot kuhusu wewe... hahaha!
 
kuongea ni one thing na kutekeleza ni another thing. tatizo rafiki yangu hawa maserengeti boys wana sweet words lakini vitendo sifuri.
wanaona mwenzao nimejitunza na uzee huu bado nang'aa ndo wanataka kunichakachua.................. sijui na mimi niseme sidanganyiki au nisubiri wajibiwe na wajomba na shangazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…