Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,583
kwikwikwikwikwikwikwi
vipi, kwani uongo? lol
kwikwikwikwikwikwikwi
Acha kisirani kama demu asiye na bwana...ebo! ebu nipishe mie...
mbona umetoa avatar ya guu la kinyalu? tehe tehe irudishe .....You are so ivo!!!!
mbona umetoa avatar ya guu la kinyalu? tehe tehe irudishe .....
i guess wanyaluI am so proud na miguu yangu ya kinyalu AND i am so proud na kabila langu la KINYALU ndiyo imekutoa ww pangoni huko....na cuppy kaipenda hivyohivyo.....anyways nimetoka kula lunch ya mchana ya nguvu sana usitake kuniharibia siku miye...
I guess unaijua ile single ya Mike yule mnyalu alivyokuimbia usikute unayo mpaka leo...
Yo Yo umedata si utani...yaani umevuruga kabisa appetite yangu. Damn you
So una m-support anachafua kabila la cuppy wako?...kwa kuweka picha za wanyama waliokufa?..kwanza ni kosa la jinai.
no simuungi mkono miye....
halafu na wewe una kesi ya kujibu. nani mwingine anakumega?
What do you mean nani mwingine ananimega?...hao waliokwambia waambie wakupe avidence time,place,date and description ya huyo au hao watu wanao-nimega......thats too deep...
wewe cuppy acha kuwa mkali. una kesi ya kujibu
Serious Cuppy kwanza nini defintion ya Kumegwa?...Unajua kuna watu wengine ni wanga alafu this is too sensitive we need to talk in private cuppy...
tehe tehe ujue cuppy wako anavyokukaangia roast inatoka hapo.....Yo Yo umedata si utani...yaani umevuruga kabisa appetite yangu. Damn you
now you sound guilty as hell....
tehe tehe ujue cuppy wako anavyokukaangia roast inatoka hapo.....
kwani unamlaga akiwa mzima mzima? si lazima mumchinje kwanza.....kwa kuweka picha za wanyama waliokufa?..kwanza ni kosa la jinai.
wewe ulipokuwa unakwenda unapokwenda kwa wakwe zako una seviwa mijipaja ya nyama unajiachi utafikiri upo KFC...ulikuwa unafikiri ni nyama gani?astakafururah.....