My laptop please

Mzenjibar

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
227
292
Msaada jamani keypad zangu zimechanganyikana na namba ,pia modem haisomi toka juzi , natumaini mtanisaidia jamani
 
Very general question mkuu umeuliza...ingekuwa vyema ungeeleza vizuri zimachanganyikana vipi..yaani ukipress button inaleta herufi/namba ingine au haziko katika mpangilio uliozoea, na kabla ya hapo ilikuwa sawa au ndo ilikuwa hivyo mda mrefu..na kuhusu modem haisomi ki vipi yaani haiwi detected kabisa na pc au inakuwa detected but haifanyi kazi (like haisomi network au vitu kama hivyo..)..unapotoa maelezo mazuri ndivyo unavyopata majibu mengi mazuri ya kukusaidia ila ukitoa maelezo mafupi..ndo hapo na wewe utajibiwa kifupi afu utaona kama watu wanakuzingua hivi au usijibiwe kabisaaa..
 
jaribu kuangalia kama hamna kitufe kilichojibonyeza bila kurudi sehemu yake ya asili. sometimes huwa zinaregea na kubakia chini. haswa haswa shift au control
 
Thanx SIJUI NA PAJE, NI kwamba uki press keypad za herufi zinatoa namba badala ya herufi ila ni baadhi tu ya keypad ambazó ni U, I ,O, P, J, K, L, M, Alafu kuhusu modem ina detect lakin hai connection ili ífanye kazi. Nafikiri nitakuwa naeleweka kidogo ndugu zangu.
 
Mzenjibar, hiyo ni shida ndogo, I assume NUM key iko on, hii ndo inayofanya hizo zisome number instead of keys kawaida. kwa hiyo zima hiyo NUM keypad afu uone, mara nyingi unaizima kwa kubonyeza FN+hiyo button, then let us know.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru xana bhana Endangered p1 na wana jf wote xaxa ipo pouwa na type bila shida jf ni suluhisho la matatizo
 
Back
Top Bottom