platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,539
Aisee, kumbe ni vibaya kumu-up grade Zombie; analipizia.
....kuliko kumfuga nani?Ndiyo maana wahenga wanasema kuwa bora kufuga ndama wa ng'ombe kwani akikua atakupa maziwa....
Babu DC!!
Ufafanuzi tafadhali
Ndiyo maana wahenga wanasema kuwa bora kufuga ndama wa ng'ombe kwani akikua atakupa maziwa....
Babu DC!!
Sina la kuongeza mkuuu.....
Mie najua kuwa dume la mtu halitoi maziwa kama ndama, ila linaweza kukuzawadia mateke....
Halafu mie na Kongosho tunaheshimiana sana ingawa haachi kunichokoza bila sababu...
Babu DC!!
anachezea toto la kimanga hajipendi eeh.Kwangu haijafunguka, so sijaona umenifananisha na nini.Kama sijakuwuwa leo, sijui.
Miwivu tu babu DC
Bora nifuge zombie litanipa nanii nanii