Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,543
- 9,166
Hapa wanawake wengi ndiyo wanafeli. Upo sahihi 100% kwako kumchagua mtu mwenye sifa unazotaka lakini siyo sahihi kwa 100% kiujumla. Ungekuwa wewe umekamilika 100% ungekuwa umeshaolewa siku nyingi. Mbona wenzako wanaolewa na kwanini wewe mpaka sasa haujampata huyo mume?6.A BUSINESS MAN SOMEONE WHO TRAVELL DIFFERENT TYPES OF COUNTRIES .
7.SOMEONE WHO SHOWS ME LOVE TRUE LOVE.
8.SOMEONE WHO WILL TREAT ME RIGHT .
9. I LOVE IF HE KNOWS ENGLISH EVEN BROKEN.
Kuna tofauti kubwa sana unapotafuta mpenzi na mume bi dada. Sikufichi mwenye sifa 6,8 na 9 unaweza kumpata lakini 7 ni siri ya mtu. Huko kuchagua chagua najua mwisho wa siku utasema sitaki kuolewa au unataka mtoto.
Sisi wanaume huwa hatuchagui sana ndiyo maana ukifikia umri wa kuoa unavuta jiko. Mimi nina degree 1 lakini Wifi yako ni darasa la 7 na tunaishi vizuri na kwa upendo.

