kuna watu wamepata wake wa kuwachezea kweli, yaani hapana kabisa, kwa mie kama nimeona kabisa cwezi kuishi bila wewe japo ningefikiria kitu cha kukuhuzunisha maisha yako yote, nadhani cjui ningekukata p.u.m.b.u....inaudhi kabisa.
havitoshi mkuu wangu!
i mean havinipi justifications kwamba hapo palikuwa na ndoa,na kama ilikuwepo ni ndoa ipi?na kama ni LOVE MARRIAGE tena ya miaka miwili ya mapenzi,huyo mwanamama alishindwaje kujua walau asilimia 40 ya tabia za mumewe ikiwa pamoja na kurudi hm baada ya siku 5?,na inakuwaje anashindwa kuvunja ukimya kwa mtu aliyekuwa bf wake for two yrs?na kama ni ndoa kwa maana ya ndoa ninayoijua ameshindwaje kuwaomba ushauri hata wasimamizi wa ndoa yake?
wewe nawe... sasa mtu harudi nyumbani siku tano kuna cha kumalizia chumbani hapo?siyo faking.................... nimemaanisha mnayamalizia chumbani, yaani kila mtu anatoka akiwa na roho nyeupe, na amani................ siyo bado hamjayamaliza mnatabasamu tu for sake ya kutabasamu.
sasa mimi nasimamia kwenye hiyo bolded part hiyokwamba wife wamemchakachua ama jamaa amepanda small haouse?
Good day all,
Nimejaribu kuwa mwanamke mwema kwa mme wangu , but on every little row we have, he leaves home for 5 days without coming back, when i call he doesnt pik up,neither does he calls. i dont knw whr he sleeps nor eats. & he coms bk later on,no apology, no explanations,even wen i try to probe, he says he doesnt want to talk abt it. we dnt have a kid yet. & we ar not a yr old in marriage yet!!! pls wives, wot have i done wrg? dont u guys also have rows , i feel like gettin away from him, i cant trust him anymore.i think he doesnt lov me again. pls your advise...
NB;Not me ..huyu mwanamama anaomba msaada wenu kimawazo
FL, mwambie dada aanze mbele asijizeeshe bure kwa huyo "mkurya" wa kuchonga!, si unajua tabia haina dawa? huyo habadiliki tena !
Siku tano bila maelezo ya wapi aliko? No way! Anabadilisha nguo au ni ile ile for 5 days? Ameajiriwa au amejiajiri?
sasa mimi nasimamia kwenye hiyo bolded part hiyo
kuna KOSA KUBWA SANA ambalo bidada wa festiledi ''amelifanya'' linalopelekea jamaa kutotamani kabisa UNYUMBA!unajua nini........watu hukosana sana lakini ukiona mwanaume AMEKISUSA KITANDA NA UNYUMBA basi moja kwa moja mwanamke ana matatizo
huyo dada kuna kitu amefanya mama!.....kaka huyu dada ndio mzembe anajitesa mwenyewe.
NB;Not me ..huyu mwanamama anaomba msaada wenu kimawazo
Mkuu ni hatari... Hivi mwanaume unaporudi hom baada ya siku tano nje ya nymba yako na mwanandani wako mpenzi huwa unaingia je ndani?? kinyumenyume?
huwa unasalimia au unapita kama teksi?
hivi huwa unafunguaje mlango au unagonga?
na unapata wapi courage ya kunyanyua kofi?
hivi ukiitwa wewe fyatu utalalama?
kweli kua uyaone
Huyo dada is being abused big time... she needs to reasess herself kama anamtakia mema kweli huyo kaka kwa kumuacha anarandaranda hivyo
The lady need to establish kama jamaa ana ndoa nyingine, maana anaweza hata akafa huko wewe hujui mwisho ndugu wa mume wakauona wewe ndiye uliyeua maana uklitelekeza mume kiasi kwamba hata amekufa hujui whereabouts zake

wewe nawe... sasa mtu harudi nyumbani siku tano kuna cha kumalizia chumbani hapo?
huyo dada kuna kitu amefanya mama!.....
wakati mwingine muwe fair jamani!...
why don't you try and investigate ''the other side of life?'',i mean tumwombe festilediwani(OPRAH WA JF) afanye mahojiano na huyo kijana anaekimbia ''unyumba'' nyumbani kwake?
kumbe? haiwezeakni ikawa tu mkaka ka mkinai tu., mie ndio mana nahic labda huyu kaka alitafutiwa mchumba na wazazi, yeye akiwa na wake sasa akaona icwe tabu, sas ahivi karudi kwa wake.
hawa watakuwa walichaguliwa na wazazi, kama mlitafutana wenyewe na hamkujuana vzr lakini kuna busara za kikawaida tu za ku solve prblms mkaendelea na maisha...btw hakunaga kujuana vizuri kabla hamjaingia ndani,, humu ndio kila kitu, hata mkikaa uchumba wa 110yrs hamtajuana kama mkiingia kwenye game...wewe ukiona kwako kunaungua kwa mwenzio kunateketea, hili game halitabiriki kabisa.
kumbe? haiwezeakni ikawa tu mkaka ka mkinai tu., mie ndio mana nahic labda huyu kaka alitafutiwa mchumba na wazazi, yeye akiwa na wake sasa akaona icwe tabu, sas ahivi karudi kwa wake.