Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
that is what we call faking... and many end up drunkards, killers, sick etc
i dont think i support that one darling
FP hapa sasa unajua faking leads to sickness actually huwa naona ni kama vile psychological torture
kile kipindi changu cha matatizo, nilikuwa namuombea pia, akija home yupo vema, ana pilsner zake za kumtosha, nilisema kila mmoja ajiombee nafc yake kwa kweli.....
sasa hayo ya kushina makanisani full time sijui kama huwa yanajenga familia bora au bora familia... anyway tuko sensitive sana na dini, i better end up here
Tuliambiwa tujisaidie atusaidie, sio we whin and cry
wajameni vipi wajameni mbona siwaelewi elewi?:doh::doh:
mnajadili gani?
Na ndipo hapo mtu unaanza kujitia uchizi kwa kitu amabcho you can make decision and move ahead mara sijui kwa kakobe, mara kwa mwingira, mara kwa mama lwakatare unazunguka kote huko kumbe the solution to the problem its there
siyo faking.................... nimemaanisha mnayamalizia chumbani, yaani kila mtu anatoka akiwa na roho nyeupe, na amani................ siyo bado hamjayamaliza mnatabasamu tu for sake ya kutabasamu.
umeona eeeeh!?!Siku tano bila maelezo ya wapi aliko? No way! Anabadilisha nguo au ni ile ile for 5 days? Ameajiriwa au amejiajiri?
Hi firstlady,
tell that swithat she is not alone. it happened to me too. atleast yy hana mtoto wala ujauzito. mimi ilinitokea nikiwa chuo,just imagine. unampigia cm hapokei meseji hajibu. i was about to be crazy kama c kuacha chuo. but you know what i did? i gave him time and thougt maybe he would change but haikuwa hivyo. then i decided to LET HIM GO FOR GOOD. sasa yupo speed anadai eti nimsamehe alipitiwa na shetani. mi nikamwambia SILI MATAPISHI. Am now very with my BABY BOY.
Najua utaumia sana but i swear your wound will heal. endelea na maisha dada wala ucjichoshe na mawazo. huyo hana mapenzi ya dhati na ww.
Mwisho wa siku unakuwa msukule wao...
Haya bwana, mie simo!
Ninaposema ajitoe mzima mzima kwa Mungu nina maana kama ameamua kumuamini Mungu basi amuamini yeye tu! Asichanganye na imani nyingine kwa mfano kwa kishirikina. Mungu ameweka wazi kwamba ama tuwe wa'moto' au wa'baridi' katu si vuguvugu! Kuhusu swala la kuhoji, huyu mtu haojiki! Pepo kishampanda kichwani hata mwenyewe ameweka wazi hataki kuzungumzia hayo mambo! Bila shaka kutumia akili ya ki'binadamu' pekee ktk swala hii kunaweza zua tatizo lingine kubwa zaidi ya hili. Nasisitiza, jibu pekee ni Mungu.Mkuu naomba mwongozo kidogo hapo
afanye nini sasa hapo, akae asali, afunge na asihoji wala nini au vipi?? sasa kujitoa mzimamzima ndio vipi kusali kutwa, kushinda kanisani au vipi??? is it that simple?
umeona eeeeh!?!
hapo mimindo nilikuwa nahoji though sijajibiwa....NI AINA GANI YA NDOA HIYO?
1)ARRANGED MARRIAGES?
2)LOVE MARRIAGES?
MIMI FESTILEDI USIPONIJIBU HILI SWALI NINASHINDWA KUKOMMENT!nitakuwa nakurupuka
ndio mwanzo wa mtu kuokoka, kushinda kanisani ukiomba, mara unahubiri masokoni, kisa cha kujitia uchizi ni nn? Jisaidie nae atakusaidia.
umeona eeeeh!?!
hapo mimindo nilikuwa nahoji though sijajibiwa....NI AINA GANI YA NDOA HIYO?
1)ARRANGED MARRIAGES?
2)LOVE MARRIAGES?
MIMI FESTILEDI USIPONIJIBU HILI SWALI NINASHINDWA KUKOMMENT!nitakuwa nakurupuka
Hapo jamaa atakuwa alikuwa anakusanifu kweli...Kwamba haaaa..nimepata mke lofa wa nguvu ...na kwamba wajinga ndio waliwao. Kuomba ombeni lakini mimi sitaki kuwa kichaa kwa matatizo ya ndoa. If it doesn't work ..tunamaliza uzia na kuanza maisha upya. Kwani tutakuwa sisi ndo wa kwanza?
Pole sana Brandon lakini thanx to god sasa uko ok na mtoto wako.....
naamini ni kweli hana penzi laz dhati kwa mkewe
umeona eeeeh!?!
hapo mimindo nilikuwa nahoji though sijajibiwa....NI AINA GANI YA NDOA HIYO?
1)ARRANGED MARRIAGES?
2)LOVE MARRIAGES?
MIMI FESTILEDI USIPONIJIBU HILI SWALI NINASHINDWA KUKOMMENT!nitakuwa nakurupuka
Pole bi dada.
Nakushauri umbane mmeo hadi akwambie kwanini anafanya hivyo. Kama akigoma peleka suala kwa wakubwa mjadili kwa kina.
Kama ilikuwa ndoa ya vichochoroni ujue imekula kwako.
Wanaume sahivi hawaoni tabu kukuvisha pete ilimradi apate huko "downstairs" lol!