My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

Why do i have a feeling that this guy is married somewhere else as well.
 
umenimaliza kaka....mie ctapata ucngizi kabisa, kwanza ntaumwa....kwanini niikae nacho na nipo nae hapo kitandani?
 
Mkuu naomba mwongozo kidogo hapo

afanye nini sasa hapo, akae asali, afunge na asihoji wala nini au vipi?? sasa kujitoa mzimamzima ndio vipi kusali kutwa, kushinda kanisani au vipi??? is it that simple?
 
haya ni maswaiba kwa kweli huyu dada anasoma comment zenu zote hapa ...naimani atafainyia kazi ushauri wa kila mmoja anaupata
 
Hi firstlady,
tell that swithat she is not alone. it happened to me too. atleast yy hana mtoto wala ujauzito. mimi ilinitokea nikiwa chuo,just imagine. unampigia cm hapokei meseji hajibu. i was about to be crazy kama c kuacha chuo. but you know what i did? i gave him time and thougt maybe he would change but haikuwa hivyo. then i decided to LET HIM GO FOR GOOD. sasa yupo speed anadai eti nimsamehe alipitiwa na shetani. mi nikamwambia SILI MATAPISHI. Am now very with my BABY BOY.
Najua utaumia sana but i swear your wound will heal. endelea na maisha dada wala ucjichoshe na mawazo. huyo hana mapenzi ya dhati na ww.
 
Hio mbaya sana mwingine anaweza akawa anafikiria hata kuutoa uhai wako
 
haya ni maswaiba kwa kweli huyu dada anasoma comment zenu zote hapa ...naimani atafainyia kazi ushauri wa kila mmoja anaupata
Thanks...

Unajua ndoa si kama chupa ya bia aisee... one has to fight for something he loves, otherwise they need to part before HIV comes knocking on their their doors
 
:evil: Dont feel sad my dada be happy and just trust in Jesus Christ, pls dont try to get away but love ur husband and be polite the only solution is to pray for him iam sure he will get back again.
pole sana Mungu akutie nguvu.

Haya mambo ni magumu sana. Hapo alipofikia sina hakika kama muda wa kuomba na kulia lia kama bado anao. Kuna dada mmoja aliamua kuokoka na kuomba. Alizunguka makanisa ya kilokole kibao wakati huo mumewe anachapa larger kwa sana kuchakachua kuanzia beki 3, ndugu wa karibu na viruka njia wa mitaani. Mwishowe aliamua kubwaga manyanga na sasa hivi anaishi vizuri na watoto wake. Nadhani siyo kila wakati 2+2=4.
 
yeah.. but lincoln kasema ajitoe mzima-mzima ndio nasubiri unajitoaje mzima mzima?

Kama atajitoa mzima kwa zile solution tatu ulizoziainisha its well and good na ndicho anapaswa kufanya otherwise nachokiona hapa ni self destruction
 
Yaani Nyamayao natamani nikaongee na hilo jamaa ila nahci linaweza kunipalkama linavyomfanya wife wake ..nikaondoka na manundu
Ndoa zingine jamani zisikieni tu
 
There you go DC at the end of the day the decision which you take ndio hiyo itayokuokoa kwenye tatizo ulilomo
 
yeah.. but lincoln kasema ajitoe mzima-mzima ndio nasubiri unajitoaje mzima mzima?

ndio mwanzo wa mtu kuokoka, kushinda kanisani ukiomba, mara unahubiri masokoni, kisa cha kujitia uchizi ni nn? jisaidie nae atakusaidia.
 
Kama atajitoa mzima kwa zile solution tatu ulizoziainisha its well and good na ndicho anapaswa kufanya otherwise nachokiona hapa ni self destruction
Agreed cousin... solution bora ni ile inayoaddress the whole context... and content hii ya kuchagua one solution ni mbaya sana

it takes two to tangle
 
umenimaliza kaka....mie ctapata ucngizi kabisa, kwanza ntaumwa....kwanini niikae nacho na nipo nae hapo kitandani?

Halafu wakati wewe unakosa usingizi yeye anakoroma na kuwaota hao wanyange wake wa nje...Unaweza kushangaa wakati unajigeuza geuza mwenzio anapiga bao la ndoni...

Akili ni kompyuta ya ajabu..Tulio wengi tunashughulika na vitu vichache at time. Kwa hiyo hakuna sababu ya ku-pile up mambo. Mimi huwa namalizana na hayo mambo haraka sana...Vinginevyo kesho hata kazini nisiende. Sitaki kujitesa for nothing.
 
kile kipindi changu cha matatizo, nilikuwa namuombea pia, akija home yupo vema, ana pilsner zake za kumtosha, nilisema kila mmoja ajiombee nafc yake kwa kweli.....
 
Yaani Nyamayao natamani nikaongee na hilo jamaa ila nahci linaweza kunipalkama linavyomfanya wife wake ..nikaondoka na manundu
Ndoa zingine jamani zisikieni tu

Ukienda tu kuongea naye...Omba Mungu urudi salama..Atakwambia anakuondoa kihere here.. Inauma sana ila mwambie huyo dada kwamba ataumia kwa muda lakini atakuwa mzima na mwenye furaha maisha yake yooote yaliyobaki..

Vinginevyo tujiandae kuimba pambio..:nono::nono::nono:
 
wajameni vipi wajameni mbona siwaelewi elewi?:doh::doh:

mnajadili gani?
 
ndio mwanzo wa mtu kuokoka, kushinda kanisani ukiomba, mara unahubiri masokoni, kisa cha kujitia uchizi ni nn? jisaidie nae atakusaidia.
sasa hayo ya kushina makanisani full time sijui kama huwa yanajenga familia bora au bora familia... anyway tuko sensitive sana na dini, i better end up here

Tuliambiwa tujisaidie atusaidie, sio we whin and cry
 
Agreed cousin... solution bora ni ile inayoaddress the whole context... and content hii ya kuchagua one solution ni mbaya sana

it takes two to tangle

The Following User Says Thank You to Acid For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…