My htc wadau

My htc wadau

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
Jamani wadau nimepata kimeo mtaani ni HTC T8788 windows phone 7 .sasa shida iliyonipa pressure ni baada ya kuitumia siku mbili ikiwa safi kabisa lakini leo asubuhi wakati wa kuiwasha nakuta inanikodolea mineno ya mwanzo htc halafu inakaa without further process ...nimejaribu kuiwasha na kuizima zaidi ya mara sita mchezo ni ule ule sasa cjui nifanyaje ...simu yenyewe bado ni mpyaaa ....ila kuna mtu kaniambia niiroote sasa sijui ndio nn ..nisaidieni wataalamu wa smart phone

.............


...............
........


Heshima kwenu.
 
kaka kama ni windows phone 7 unahitaji zune kufanya kila kitu.

install zune kwenye pc halafu reinstall firmware au cheki update then install wp7.8 kabisa ili simu izidi kua nzuri.
 
Mkuu nimekuelewa lakini sijawa na uwezo wa kufanya vitu vizito namna hiyo ..
 
kaka zune ni rahisi we download conect simu kila kitu itakwambia ni kama itune tu
 
Asante sana mkuu ngoja nianze kazi ntaleta feedback.
 
Nimejaribu hiyo trick ..lakini mbona hata cm yenyewe haiwi detected na pc ..
 
Kwanza hakikisha cm yako ni OEM yaani original. Pili check drivers za usb yake pia unapo install software yoyote inatakiwa u restart pc yako alafu ikisha waka ndo uendelee na mengine pia kuwa makini isiwe ya kichina yaani kopi yake itakusumbua maana madeveloper wa kichina wana tengeneza kopi af wana uza firmware zake au rom za cm zao.
 
Asante.nilipo connect na usb yake iliwaka na ikawa inatoa mwanga. Sasa kilichogoma ni kushindwa kuwa detected ..hivi hadi windows phone mchina katia mkono kumbe ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom