Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
Salaam, Natumia simu aina ya HTC desire ( Android Version 2.2.2 Baseband Version 32.49.00.32U_5.11.05.27 KERNEL vERSION 2.6.32.15-GF5A401c Build number 2.29.207.4 CL 345089 release key Software number 2.29.207.4 Browser Version WebKit 3.1), Desktop yangu ni dell optiplex 790 and am using window 7 lakini nimeshindwa kabisa kutumia hiyo software.
nilipoidownload kwa mara ya kwanza niliweza kuitumia vizuri lakini hivi karibuni nikiunganisha cable kutoka katika desktop hadi kwenye simu inaconnect halafu desktop inaonesha ujumbe ufuatao "please check your phone and allow the usb debugging" the computer RSA fingerprint key is A1:E3:9E:56:C3:9D:A4:82:96:74:E2:16:47:2D:CF:39 na always allow from this computer......nimejaribu kuallow kwenye applications>development>debugging bado tatizo liko pale pale. Simu haioneshi chochote kile na ule ujumbe hautoki na pia nashindwa kuunganisha simu na desktop yangu.............naomba mwenye ujuzi zaidi anisaidie.