Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
jibu mwenyewe kuondoa utata! A UNDENIABLE alikuwa mume wako zamani na hata sasa 2 Eli79 ni mume wako wa majuzi, uhusiano umeanza juzi kati 3 figganigga unampenda kwa dhati ila ameonekana hana mpango wa dhati na wewe! njoo clarify haya mambo!
UNDENIABLE huyo figganigga ni babe wangu......
kipindi umenipa talaka ndio alikuwa msaada mkubwa sana kwangu
ingia tu ndani coz wewe ni mwanafamilia. na hii hari ya hewa ntakufaidije!?. miafigganigga niko hapa maeneo ya kwenu mbona sikuoni jamani!!!!!
ingia tu ndani coz wewe ni mwanafamilia. na hii hari ya hewa ntakufaidije!?. mia
jibu mwenyewe kuondoa utata! A UNDENIABLE alikuwa mume wako zamani na hata sasa 2 Eli79 ni mume wako wa majuzi, uhusiano umeanza juzi kati 3 figganigga unampenda[/QOUTE]Usiusemee moyo. mimi na ubavu wangu Heaven on earth twapendana. mia
ingia tu ndani coz wewe ni mwanafamilia. na hii hari ya hewa ntakufaidije!?. mia
hahahaaa.... UNDENIABLE ulie tu, wenzio wanaenda peana joto, hebu twende siasani nikakufute machozi mwaya
karibu sana my love love love!. miahahaaa leo kuna kijibaridi huku nje.....ngoja nije kupata joto asilia..........
UNDENIABLE huyo figganigga ni babe wangu......
kipindi umenipa talaka ndio alikuwa msaada mkubwa sana kwangu
Nendeni tu siasani.......
Ila shem akiingia ikulu 2015 umwambie asimsahau kwenye ufalme wake
hahahaaa.... UNDENIABLE ulie tu, wenzio wanaenda peana joto, hebu twende siasani nikakufute machozi mwaya
usijali mwaya, twende zetu siasani mwaya kule kunatuhusu! soon utakuwa first lady ujue, halafu eti siasa hujui, plz njoo ongozana na mimi mara mojamoja! halafu mumeo akishinda kiti cha urais usimsahau Heaven o earth kwenye ile wizara, ni mwanamke mzuri sana! sawa mke wa rais?
Nendeni tu siasani.......
Ila shem akiingia ikulu 2015 umwambie asimsahau kwenye ufalme wake
nikweli siasa siijui kabisa ndio maana nakufuatafuata mwenzio nisije aibika kwenye campaign ya kumnadi mume wangu... Itabidi uwe unakuja na home basi kunipa somo mwenzio
haswaaaaaaa, ila prezidaaa hana wivu kweli!
Eli79 kama ni kwa dismynder1 we nenda tu...
mie kiroho safi tu,just take care of her kama ulivyokuwa unafanya kwangu tu
mmmh...... Sijui hebu njoo tuone kama anao, tukimuona amekunja sura tunahama kijiwe
Kwani ni mwanaume huyu? Wanawake wa nani wanaopagawa na nywele zake?
Mnaniharibia swaumu.
mke wangu Heaven on earth hajui unayo yasema. usitake kutuharibia uhusiano. miaIla sasa taratibu na mimba jamani, olz nakuomba! ukishajifungua niambie nije niwajibike! mwambie kabisa mume wako ajaribu kuwa na hekima katika hili, tusije fikishana mbali bila sababu! na kama umeshatoa mimba sema hapa hadharani ili dhambi hii ikuhusu wewe mwenyewe! figganigga!