six packs..
za honey wangu tuuu
niache kupagawa na nywele zangu nikapagawe na vinywele vya kisomari yanihusu
huyu UNDENIABLE ana yake huyu
TheDealer nahisi atakuwa keshampata wa
kumdondoshea huo moyo wake simuoni tena hum ndani
sasa kama huna nywele mumii, utapagawa na nini mumiiiiii!!!!!
initapagawa na mikono na miguu yangu jinsi iilivyo kwani imejazia km chupa ya bia
poa shemeji yangu! usijali, nipo na Lady doctor siasani! namfundisha siasa, soon mumewe anakuwa rais!
natamani sana turudiane ila sasa nitaanzia wapi! maana naona tayari umeanzisha mahusiano mengine, bado mapenzi ya dhati yananikaba koo! nimekwama mbele siendi nyuma sirudi, nimekwama haswaaa!
the same applies here..........
UNDENIABLE utakuja kuniona lini huku kwetu
nipe appoint tu sweet wangu, mi nakuja no shida!
umeonaee....... Twende basi,,,,,, nakusubiri ujue
ok, nikikuta uzi mzuri nitakuwa nakuita!
uwe na kifua lakini, maana unaweza ukaanzisha uzi mods wakafuta! unaweza ukaongea bonge la pwenti ukatukanwa! ndio mambo yetu ya huko siasani!
my wii nimetoka kucheki sa hivi niko salama.........
umbea woote na ukuishe!!!!!!!!!!
kaka ako niko nae hapa,anasema mbona ile hela hujanitumia!!!!!!
my wii nimetoka kucheki sa hivi niko salama.........
umbea woote na ukuishe!!!!!!!!!!
kaka ako niko nae hapa,anasema mbona ile hela hujanitumia!!!!!!