Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Niceeeeeeeee mafundisho! mkuu sasa hv ni goma la Eli79! sasa hv mm namuita shemeji! what a crazy life! mm nipo siasani kwa sasa! namtafuta mwanamke mwanasiasa ama m'ke mithili ya joyce kiria wa "wanawake live"
Kariiiiiiibu!
naomba niwe mgeni wako siasani, nataka nianze kufanya maandalizi
hahahahhahahah hupendi kucha, meno yako!?
kule unatakiwa kuwa na kifua coz matusi ni nje nje! hv tunavyoandika sasa hv mheshimiwa Mwigulu Nchemba yupo kifungoni, kala ban ya mwezi shauri ya matusi!(huyo ni kiongozi wa kitaifa)
mheshimiwa Nape Nnauye yupo kwenye kitimoto shauri ya hoja ya muungano, na bila shaka atawasababishia watu kadhaa ban! anyway siasani kupo salama!
vp wewe waweza kweli???
kariiiiiibu!
UNDENIABLE nakumiss lakini......Niceeeeeeeee mafundisho! mkuu sasa hv ni goma la Eli79! sasa hv mm namuita shemeji! what a crazy life! mm nipo siasani kwa sasa! namtafuta mwanamke mwanasiasa ama m'ke mithili ya joyce kiria wa "wanawake live"
Kariiiiiiibu!
UNDENIABLE nakumiss lakini......
we ndio ulinifundishaga unajua
nataka na mie nianzisha saccos yangu!!!!
halafu we mimisa nakuona unachungulia hapoi!:behindsofa:
hahaaa pozi la shemeji tena sijui kama ntalizoea miepoa shemeji yangu! usijali, nipo na Lady doctor siasani! namfundisha siasa, soon mumewe anakuwa rais!
hahaaa pozi la shemeji tena sijui kama ntalizoea mie
Ila si bado unakumbukumbu ya yale mapenzi yangu ya moto moto eeehhhh! au umeshayasahau na kutupa kule!?
Nilikupenda wewe mwanamke wewe, hadi ukanitia uchizi! nakumbuka kuna siku nilikaribia kuvaa chupi kichwani shauri ya penzi lako!
mwanaume wa kwanza hamuachani,mnapeana muda
wa kulijenga penzi tu,ile siku naikumbuka sana.......
na ndio maana nikasema nimekumiss mie
natamani sana turudiane ila sasa nitaanzia wapi! maana naona tayari umeanzisha mahusiano mengine, bado mapenzi ya dhati yananikaba koo! nimekwama mbele siendi nyuma sirudi, nimekwama haswaaa!
wanawake wake wanapagawa na nywele zangu
na wewe huna mpango na mie tena,umehamia jukwaa la siasa uko
sijui kuna nini huko siku hizi
huyu UNDENIABLE ana yake huyu
TheDealer nahisi atakuwa keshampata wa
kumdondoshea huo moyo wake simuoni tena hum ndani