My girlfriend ananiibia hela yangu

Huyo girlfriend wako inaelekea ana tabia ya udokozi na imeshakomaa. Kama bado unamzimia mwambie ukweli anaweza kujirekebisha ila sidhani kama ataacha.

Ila BJ inawezekana hampi hela ya kutosha ya matumizi,Hivi kama wakimaliza hiyo game yao sijui ya Man na Chelesea akampa vijisenti na kumwambia sweetheart wako ajikimu kwa Rotion na matumizi madogodogo atamuibia kweli,
yawezekana wewe ni bahili...
 
kaka bei ya pedi imepanda ok alafu vicheche vingine ni viizi kwa hulka haviezi kuacha we chakachua huku ukiendelea kuitafuta mbadalaaa!!
 
Mie nitamtafuta huyo DEMU nimpe mbinu za kivita amuibie mpaka ajisikie poa

I wish, angekuwa anapita hapa, aone hii!!! Hivi hawezi katupatia namba za huyu Demu wake tumtafute!!!
 
Hebu tu PM atupe namba ya huyu DEMU tumtafute nina hamu naye sana huyu DEMU nimuone nimpe mbinu za kivita
 
endelea naye, ila anza kumpa PESA za matumizi! unategemea nini kila siku UNAMKANYAGA tu alafu waondoka? inaonekana u baili sana ndo maana ukaamua kupanga permanent room! huyo binti ni mwema sana kwani inaonesha hata kiasi anachochukua ni subsistance (a kujikimu) tu alafu unalalaaaaaama!

Mambo zenu waheshimiwa?ni hivi mie nina my girlfriend wangu ambaye nimepanga chumba kwa ajili ya kwenda kufurahishana inapobidi,lkn mara nyingi napokutana naye baadae nikihesabu hela zangu nakuta zimepungua ktk hali ya mm kutoelewa kwamba kwann zimepungua kiasi hiko nikawa nafikiri labda nimesahau mahesabu lkn kuna cku nilizihesabu fedha zangu kabla yeye hajafika lkn cha ajabu tulipomalizana nikakuta hela zimepungua kwahiyo nikawa na uhakika kuwa yy ndiye anayeniibia bac jana nikamwita ili aje nami nimtege,bac 2kaichakachua ngono kama kawa, 2livyamaliza kuivunja amri ya 6 mie nikaenda kukoga niliporudi nikamuambie na yeye akaoge,alivyotoka mie nikahakikisha hela yangu na kuiona imepungua ndipo nikaanza kusachi ktk nguo zake ckukuta ki2 lkn nilipofika kwenye viatu vyake nikazikuta hela zangu mie nikazichukua zile hela zangu na kuchukua karatasi na kuiandika maneno haya:HII HELA INUNULIE CHUPI UVAE ,nikaichukua ile karatac nikaiweka ktk kile kiatu chake na ku2lia kana kwamba hakuna kilichotoke,alivyorudi kukoga mie nikawa namchora anavyohakikisha kama noti bado ipo kwenye kiatu chake,akavaa na kuondoka zetu cha ajabu mpaka sasa cmu yake kaizima,je nimfanyaje huyu demu na tabia mbaya yake hii mie bado namzimia?
 
Wanawake bwana, hata hamueleweki mara haki sawa, mara sijui nini....Sasa wewe unataka bf wako akupe hela ili iweje. Kama mmekubaliana kuwa pamoja si wote mnafurahia, mimi nashangaa hii habari ya kudai upewe hela inatoka wapi. Halafu mkishapewa mnaanza kulalama oooh tunataka kuwa sawa. With this kind of mentality mtachezewa milele.

Sio hivyo kaka angu natakiwa nikitoka hapo nioge, nipake mafuta, niendelee kupendeza.
We unataka je? Nikiwa mchafu utaniacha, kunifanya nipendeze na niwe msafi hutaki.....Wataka ni?

Haki sawa katika nini labda. Kwenye swala a mahusiano mi mwenzenu naamini mwanaume atabaki kuwa kichwa tu.
Ila msituonee tuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!
 
kaka bei ya pedi imepanda ok alafu vicheche vingine ni viizi kwa hulka haviezi kuacha we chakachua huku ukiendelea kuitafuta mbadalaaa!!

Uzuri wa haya mambo, vicheche wanachukuliwa na vicheche vyenzie.
Kwa maana ingine namsifu huyu Kicheche a.k.a Demu wa Washawasha,
Manake ana akili sana.
 
Hapa sioni unacholalamika mkuu,kwani kuna watu washaibiwa pesa ya mkopo wa kujengea na hawajalalamika.Cha kufanya wewe ni kuelewana na mpenzi wako tu kwani inawezekana yeye ni aina ya wasichana wasiopenda kupewa ila wanapenda kujichukulia wenyewe,na kama ukishaelewa kuwa yuko hivyo basi na wewe kila ukikutana naye kwa kuwa unajua atajichukulia basi unakwenda na zile ambazo umempangia ajichukulie na ukienda na nyingi akazibeba wala usilalamike kwani tayari utakuwa unajua aina ya mtu uliye naye..
 
Dah! Kweli kazi ipo
 
Kwamba ni kicheche/DEMU au................................Mmmmmmmh Paka, haya mahusiano ya hivo yanakuwa na ,malengo gani labda????
 
Malengo wanayajua wenyewe mama,mimi na wewe hatuwezi kuyajua na hata tukiwauliza malengo yao hawatatueleza..............
 
As a rule....siwezi kuchukua mwanamke wa hivi....kwa nini na wewe usimuulize from the start ukajua hali yake, ana mahitaji gani., kisha ukamtimizia ndo mkala tunda kwa raha?

Inavoonekana ngono mnafanya kweli ngono but you are not making love

kwa sababu kama unamzimia kama unavosema, yeye hakuzimii anakuchuna. Na kama unamzimia, kwa nini umempangia chumba cha kufanya ngono tu? I mean kwa nini usimpe respect kwa kumweleza ukweli kwamba labda home ni noma nk

Inaleta picha kwamba, huyo ni wale madada poa sijui mnawaitaje...mi hata sijui, lakini ukiwa na hao.....hakuna kuzimiana ni kufanya kilichokupeleka...ndo maana anakuibia...sasa huyo sio GF in the strict sense mkuu....huyo niu mjasiriamali na usijidanganye kuwa unamzimia....
Hapana hiki chumba ninacho ktambo kabla cjaanza nae ila hii tabia yake mie ndio imeniacha hoi ila kwa style hii nitaenda naye vile anavyotaka yeye
 
Sijui niko je!!!
Kama ni Demu naona ni halali yake tu kukuibia.

Hivi hili jina unajua mi silipendi, khaaaa...........................h
Jina gani Demu au Washawasha?
 
Malengo wanayajua wenyewe mama,mimi na wewe hatuwezi kuyajua na hata tukiwauliza malengo yao hawatatueleza..............

Dah, haya bwana!!!!!!
Hili jibu linatosha, ngoja nihamie kule kwingine sasa.............!!!!
 
Hivyo ulivyomfanya inatosha kabisa, hata yeye hatarudia tena.
Kwa sasa unachotakiwa kumfanya ni kumsamehe tu,thats all.
Mambo zenu waheshimiwa?ni hivi mie nina my girlfriend wangu ambaye nimepanga chumba kwa ajili ya kwenda kufurahishana inapobidi,lkn mara nyingi napokutana naye baadae nikihesabu hela zangu nakuta zimepungua ktk hali ya mm kutoelewa kwamba kwann zimepungua kiasi hiko nikawa nafikiri labda nimesahau mahesabu lkn kuna cku nilizihesabu fedha zangu kabla yeye hajafika lkn cha ajabu tulipomalizana nikakuta hela zimepungua kwahiyo nikawa na uhakika kuwa yy ndiye anayeniibia bac jana nikamwita ili aje nami nimtege,bac 2kaichakachua ngono kama kawa, 2livyamaliza kuivunja amri ya 6 mie nikaenda kukoga niliporudi nikamuambie na yeye akaoge,alivyotoka mie nikahakikisha hela yangu na kuiona imepungua ndipo nikaanza kusachi ktk nguo zake ckukuta ki2 lkn nilipofika kwenye viatu vyake nikazikuta hela zangu mie nikazichukua zile hela zangu na kuchukua karatasi na kuiandika maneno haya:HII HELA INUNULIE CHUPI UVAE ,nikaichukua ile karatac nikaiweka ktk kile kiatu chake na ku2lia kana kwamba hakuna kilichotoke,alivyorudi kukoga mie nikawa namchora anavyohakikisha kama noti bado ipo kwenye kiatu chake,akavaa na kuondoka zetu cha ajabu mpaka sasa cmu yake kaizima,je nimfanyaje huyu demu na tabia mbaya yake hii mie bado namzimia?
 
Sio hivyo kaka angu natakiwa nikitoka hapo nioge, nipake mafuta, niendelee kupendeza.
We unataka je? Nikiwa mchafu utaniacha, kunifanya nipendeze na niwe msafi hutaki.....Wataka ni?

Haki sawa katika nini labda. Kwenye swala a mahusiano mi mwenzenu naamini mwanaume atabaki kuwa kichwa tu.
Ila msituonee tuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!
Kama nimekusoma vizuri LD, unamaanisha kuwa mumeo ndiye mwenye last say katika maamuzi ya nyumbani. With that kind of model, nadhani una haki ya kuchukua mkwanja.
:hand:
 
Back
Top Bottom