My girlfriend ananiibia hela yangu

Eti gelofriend wake anaitwa Demu.
Sasa analalamika nini??
Mi nikimuona nitamwambia na vingine anavyotakiwa aibe.
Ni pm nitakupa namba yake ila usimfundishe kuniibia uume wangu
 
Mambo zenu waheshimiwa?ni hivi mie nina my girlfriend wangu ambaye nimepanga chumba kwa ajili ya kwenda kufurahishana inapobidi,lkn mara nyingi napokutana naye baadae nikihesabu hela zangu nakuta zimepungua ktk hali ya mm kutoelewa kwamba kwann zimepungua kiasi hiko nikawa nafikiri labda nimesahau mahesabu lkn kuna cku nilizihesabu fedha zangu kabla yeye hajafika lkn cha ajabu tulipomalizana nikakuta hela zimepungua kwahiyo nikawa na uhakika kuwa yy ndiye anayeniibia bac jana nikamwita ili aje nami nimtege,bac 2kaichakachua ngono kama kawa, 2livyamaliza kuivunja amri ya 6 mie nikaenda kukoga niliporudi nikamuambie na yeye akaoge,alivyotoka mie nikahakikisha hela yangu na kuiona imepungua ndipo nikaanza kusachi ktk nguo zake ckukuta ki2 lkn nilipofika kwenye viatu vyake nikazikuta hela zangu mie nikazichukua zile hela zangu na kuchukua karatasi na kuiandika maneno haya:HII HELA INUNULIE CHUPI UVAE ,nikaichukua ile karatac nikaiweka ktk kile kiatu chake na ku2lia kana kwamba hakuna kilichotoke,alivyorudi kukoga mie nikawa namchora anavyohakikisha kama noti bado ipo kwenye kiatu chake,akavaa na kuondoka zetu cha ajabu mpaka sasa cmu yake kaizima,je nimfanyaje huyu demu na tabia mbaya yake hii mie bado namzimia?

Kwanza huyo ni girlfriend au ni msichana wa kufanya naye ngono na kuondoka? huyo lazima akuibie tena kama humpi chochote , halafu hakupendi kwa sababu na wewe inaonyesha humpendi maana maneno unayoandika sidhani kama ni msichana unayempenda, ungetakiwa ukae naye muongeleshe kwa busara mwambie madhara ya tabia yake na umwambie kama ana shida akuambie asikuibie, na akuahidi hatakuibia tena. lazima kuna mambo unamfanyia siyoo bure. kama humpendi muache tafuta unayempenda na ambaye siyo mwizi
 
Umeona eeh,
Kaibiwa na demu wake, anatudanganya girlfriend wake.
Halafu analo pango la kudemulia, khaaaaaaaah, aibe na PIN na kadi ya benki kabisa!!!
PIN hakuiba ila nimempa mwenyewe
 
FP naoan wewe unalipenda kidogo yaani mimi ukiniita Demu hakiyamungu sikuitikii wala kukusemesha milele Demu ndo nini bana
Ukiona mtu anaitwa demu ujue huyo ni mwanamke,mwanaume haitwi demu
 
Ila BJ inawezekana hampi hela ya kutosha ya matumizi,Hivi kama wakimaliza hiyo game yao sijui ya Man na Chelesea akampa vijisenti na kumwambia sweetheart wako ajikimu kwa Rotion na matumizi madogodogo atamuibia kweli,
yawezekana wewe ni bahili...

Au alimzoesha pesa halafu kasitisha..pia inategemea na malezi ya huyo binti kutoka kwao na alivyokua!!!
Kwa kuanzia washawasha aanze kumpa vizawadi na muhimu zaidi kumwambia wazi kuhusu tabia ya udokozi aliyoiona. Halafu amsikie bibie atasemaje!!..
p.s. avatar yako maridadi!!!!
 
Kwa mfano wewe ni boyfriend wangu, hunipi hela ya kununulia chupi, sabuni, mafuta, kupendezesha nywele,
na mimi niwe kama msichana, unafikiri nitafanya nini?

Lakini kama unanipa, unajali mahitaji yangu sikuibii,
sio unaona napendeza wala huulizi, nina simu mpya huulizi, kiatu kipya huulizi, nanukia pafume nzuri hujui nimepata wapi.
Unachojua wewe kuchakachua tu, daaaaaah sitaniii nikipata nafasi ya kukuibia nakuibia kwa kweli.

Kwa hiyo kama unamfanyia hayo yote halafu anakuibia hafanyi vizuri. Mwambie abadilike.
Na wewe kama humpi hela, uwe unampa, hujui ukiona vyaelea vimeundwa kaka wewe!!!

Lakini yote katika yote, mshahara wa dhambi ni mauti.

Hivi LD, kama je unakazi na kipato kuzidi mwanaume ni lazima akupe hela ya matumizi? Je, unapima kupendwa kwa hela unazopewa? Je, Inamaana mapenzi yako yanaangalia sana kipato cha mwanaume kuliko penzi halisi?

Na wewe washawasha, inaonekana wewe na gf wako mko kibiashara zaidi. hapo hakuna mapenzi ndio maana gf anatoka jasho na kudai/kuiba pato lake. ukute ukiondoka anawateja wengine anaowapa biashara yake. kwahivo ni sawa tu akikuibia kama haulipi. tenaukute huwa anawazakichwani kwake umalize hiyoshughuli haraka ili akuibie.
 
Ila BJ inawezekana hampi hela ya kutosha ya matumizi,Hivi kama wakimaliza hiyo game yao sijui ya Man na Chelesea akampa vijisenti na kumwambia sweetheart wako ajikimu kwa Rotion na matumizi madogodogo atamuibia kweli,
yawezekana wewe ni bahili...
Hapana sio mbahili ktk suala mapenzi pia hela ya matumizi huwa nampa
 
kaka bei ya pedi imepanda ok alafu vicheche vingine ni viizi kwa hulka haviezi kuacha we chakachua huku ukiendelea kuitafuta mbadalaaa!!
Aminia kiongozi nitamuanzishia style ya maandamano atakoma mwenyewe
 
Back
Top Bottom