Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
nina mpenzi wangu, ambaye nimempata hivi karibuni, kama mwezi 1 umepita, j5 iliyo pita ndo ilikuwa mara ya 1 kufanya nae mapenzi. lakini cha ajabu ananilazimisha tufanye kinyume na maumbile lakini mm nikakataa, akanitishia kuto fanya mapenzi siku hiyo, lakini nika mbembeleza hadi akakubali tukafanya kawaida kwa masharti ya mara ya pili tutakapo onana, tutfanya nae kinyume. lakini mm sija dhamiria kufanya hivyo kwa sababu sipendi na ni maadili mabaya kwa wa tz, hivyo nawaomba wana #JAmii forum, mnisadie jinsi ya kum convice huyu mdada ili abadirishe mtazamo wa kufanya hivyo.....
hivi hizi mada mbona zinaongezeka kila mtu anaombwa tigo wengine wanaombwa wale tigo....
marinda si yake? we tatua tu..