My friend is looking for a Partner, and maybe a husband kama mambo yataenda poa

amuombe Mungu amuongoze, tembelea pia site ya Afrointroductions, kama ni mkristo christian dating inaweza mfaa, mimi nimefanikiwa kupata mume kupitia hapo
 
vip dahh kuna ubaguzi hapa wa kiumri, mi niko kwenye 20s, ila napenda mambo ya 40s kama haya, kuhusu kipato hasiofu coz si kipo katika std, sina mtoto wala, mpenzi, so kama anamaind shwari mi pm fasterrrrrrrrrrrr
 
Aliwai kuwa na mume b4 au wtt alizalia nyumbani?.muda wake umeenda alafu masharti mng sn ukilinganisha na umri bana
 
Vgezo vmeniacha hooi, mama we ni 40s na aujaoolewa na atayekuoa asiwe na watt na wala asikuzalishe, me sjaoa ila vgz vishanshinda mama
 
Teh teh teh, ujana wake ale na nani atuletee sisi matatizo hapa...! Mwambie sisi H A T U D A N G A N Y I K I....!!
 
vip dahh kuna ubaguzi hapa wa kiumri, mi niko kwenye 20s, ila napenda mambo ya 40s kama haya, kuhusu kipato hasiofu coz si kipo katika std, sina mtoto wala, mpenzi, so kama anamaind shwari mi pm fasterrrrrrrrrrrr

we umekaa ki zinifu zinifuuu utampandisha presha tu 'bibi wa watu'
 
KILOMITA TAFADHARI ILI TUJUE ENGINE IMETUMIKAJE,isije ikawa inavujisha oil.
 
eti hapa ndio home of positive thinkers! labda mseme home of NEGATIVE thinkers au jamvi la wambea na vizabizabina, watu wasio na kazi. mtu katoa ombi lake jamani katumwa, ni yeye mwenyewe, sio kazi yenu. kama you dont meet vigezo matusi ya nini. wewe unaweza kumuona kazeeka, mwingine akamwona she's super 16. mkiona mzungu mama wa miaka 60 ana mume wa miaka 25 wala hamsemi you think its right sababu ya rangi nyeupe. tatizo wa TZ bado mko nyuma kama makoti. kutwa kusemana na kukashifiana. kujudge post za watu, na mengine mengi. kaweka post yake hapa, basi nyie majibu yote mnayo. alikuwa wapi unajani, mara akapime afya, mara sijui nini? nyie mara ya mwisho mlipima nini. Eti mid 40 huzai, nani kasema, mpaka 50 wanazaa. if you think she's too old huna sababu ya kusema kaa kimya, and I bet you nyie mnaosema kazeeka ndio kutwa kitongoza mimama ya 50 and above! Mmebiboa sana nyie watu, nimeamua kuji register leo niwapake. why cant you always be POSITIVE as you call yourselves! kafanya nini cha ajabu dada wa watu. kaweka email yake, why dont you communicate with her umuulize yale yanayokuumoiza moyoni japo hayakuhusu kuliko kumuanika hapa kwa matusi. mmekalia umbea tu hapa na kusimanga watu, how good are you?
niko ughaibuni, huku love search kwenye net ni mambo ya kawaida na watu wamefanikiwa sana tu. Wa Tz its high time you should change. Badilikeni! Ndio maana nafasi nyingi zinachukuliwa na wa KE and UG kwa sababu ya majungu yenu na ulimbukeni mlio nao.
Nimeji register, mtaniona sana jamvini, nitajitahidi hadi mbadilike...!
 
Mkuu, naona povu linakutoka kwa kujipigia chapuo. Tambua Kila Mtu Anauhuru Wakutoa Maoni Yake Kisha Muhusika Atatoa Maoni Yake. Kujiunga Jf Ni Haki Ya M2 Yoyote Ilimladi Anakuwa Ndani Ya Utaratibu Sahihi Wa Jf.
 
to add on this nimesahamu, my friend was divorced 10 years ago. so akipata divorcee au aliyefiwa as long as yuko tayari wakapime afya zao hana problem.
Mshauri awe anahudhuria misiba
 
eti hapa ndio home of positive thinkers! labda mseme home of NEGATIVE thinkers au jamvi la wambea na vizabizabina, watu wasio na kazi. mtu katoa ombi lake jamani katumwa, ni yeye mwenyewe, sio kazi yenu. kama you dont meet vigezo matusi ya nini. wewe unaweza kumuona kazeeka, mwingine akamwona she's super 16. mkiona mzungu mama wa miaka 60 ana mume wa miaka 25 wala hamsemi you think its right sababu ya rangi nyeupe. tatizo wa TZ bado mko nyuma kama makoti. kutwa kusemana na kukashifiana. kujudge post za watu, na mengine mengi. kaweka post yake hapa, basi nyie majibu yote mnayo. alikuwa wapi unajani, mara akapime afya, mara sijui nini? nyie mara ya mwisho mlipima nini. Eti mid 40 huzai, nani kasema, mpaka 50 wanazaa. if you think she's too old huna sababu ya kusema kaa kimya, and I bet you nyie mnaosema kazeeka ndio kutwa kitongoza mimama ya 50 and above! Mmebiboa sana nyie watu, nimeamua kuji register leo niwapake. why cant you always be POSITIVE as you call yourselves! kafanya nini cha ajabu dada wa watu. kaweka email yake, why dont you communicate with her umuulize yale yanayokuumoiza moyoni japo hayakuhusu kuliko kumuanika hapa kwa matusi. mmekalia umbea tu hapa na kusimanga watu, how good are you?
niko ughaibuni, huku love search kwenye net ni mambo ya kawaida na watu wamefanikiwa sana tu. Wa Tz its high time you should change. Badilikeni! Ndio maana nafasi nyingi zinachukuliwa na wa KE and UG kwa sababu ya majungu yenu na ulimbukeni mlio nao.
Nimeji register, mtaniona sana jamvini, nitajitahidi hadi mbadilike...!

Umejitahidi sana kumtetea ni mama yako nini?
 
Sio hauko tayari kumpatia watoto, at that age huwezi kuzaa, ukizaa unazaa mwehu.

Uko wapi wewe? siku hizi teknolojia inamruhusu mwanamke mpaka wa 60 kuzaa itakuwa yeye wa mid 40s! Mbona wazungu wanazaa tena siku hizi kuanzia 40 mpaka 45 wako wengi tu na hasa actresses na wale walioko kwenye business world.
 
DaAsia usipandishe pressure kwa vijana wa humu ndivyo walivyo. Wapo wenye maoni ya maana na wapo wengi tu ambao kazi yao kukejeli wenzao na kujifanya wanajua saaaaaaana.
 
endelea kumuomba mungu utapata tu chaguo lako kila mwenyekusubiri yupo pamoja na mwenyezi mungu
 
Back
Top Bottom