duuh! sasa mbona hicho kingereza sasa
Naombeni kujua tofauti kati ya E-banking na online purchases,In detail report kuhusu myus.com: hawa ni kama host couriers ambao wanakufadhili kwa kukupa anuani marekani,anuani ambayo sasa unaweza kununua bidhaa kwa muuzaji (seller) yeyote wa ebay,amazon na hata official sites kama apple,dell na nyinginezo. unapokuja kwenye kujaza anuani ya manunuzi na usafirishaji(shipment address/address) unajaza anuani ambayo umepatiwa na myus.com.. kitakacho fanyika ni mzigo wako unakwenda kwenye address ambayo ulipewa na myus.com na wenyewe watakujulisha kwa njia ya email au simu na kukuuliza ni kwa njia gani ungependa mzigo wako ukufikie,wenyewe wataingia gharama kukusafirishia mzigo wako na watakukata automaticaly kwenye account yako(hadi uverify lakini) na mzigo wako utakufikia saafi kabisa..hivyo hawa jamaa ni salama na wako certified na wana fanya hii huduma kwa muda mrefu sasa vyakuzingatia ni hivi: -utajaza fomu ya registration ambayo utaandika anuani yako na sehemu halisi uliyopo,hakikisha una kadi ambayo imewezeshwa kufanya malipo ya mtandaoni(e-banking,online purchases almost bank zote zinafanya kasoro NMB) -utakatwa kiasi cha dola 10$,kama registration fee -tunza password yako na suite namba ambayo ni kama username yako(muhimu sana) -KUMBUKA kuwa anuani yako ya manunuzi sasa itakuwa ni hii ya myus.com na sio hii ya bongo hivyo nenda kwenye profile yako ya ebay au mtandao wowote unaofanyia manunuzi na uibadili address yako kuwa hii ya myus.com -kumbuka kuangalia email yako na simu yako kama umeshanunua kitu kwa kutumia myus kwasababu watakutafuta uverify shiping method ya kuja kwako -sasa unaweza kununua chochote kokote duniani kwakuwa tayari una address ambayo inaeleweka na ina julikana ilipo my fellow Geeks nawashauri msiogope haya mabo wala msisite kwasababu kuna waoga wachache wanafanya mabo yaonekane ni magumu kwa wote kaajili ya woga wao,jaribu na jaribu,uliza ukishindwa na usisahau kuwa MAKINI MNO. usikurupuke maana haya mambo yanataka uchunguzi kidogo. kwa upande wangu nimeagiza earphone original kutoka applestore( sio ebay nazungumzia mtandao official wa apple) na wamecomfirm mzigo utafika kesho jioni kwenye address yangu ya myus.nitazidi uwapa data ndugu zangu., leteni maswali (though sipo online muda wote) tembeleeni hii website ya MYUS.COM kabla hamjauliza maswali wakuu.jionee kwanza ukikwama leta hoja tulijadili wote.sote ni wageni kwa haya mambo joe out...
Naombeni kujua tofauti kati ya E-banking na online purchases,
E Banking ni huduma za kibenk kupitia internet, hii ina maana unaweza kuaccess account yako through internet ikiwemo kuangalia salio, kufanya transfer, kufanya transactions mbali mbali za kibenk nk
Online Purchases ni huduma ya kibenk inayoifanya Card yako ya bank iweze kufanya malipo mbali mbali online
Hapa inamaana utakuwa na card ama master card au visa card kwa TZ ambayo ni mashirika yatakayo kuwa linked na card yako na popote pale duniani unaweza kufanya manunuzi na master au visa watasimamia zoezi zima
Kumbuka
E banking ni kuaccess acc yako kupitia internet kwa account no yako
Online Purchases ni kufanya malipo kupitia Card yako ya bank iliyokuwa linked kufanya hivyo
Asante kwa ufafanuzi.
Kwa hiyo kama Master/Visa watacmamia je, ikitokea fault waweza ku-complain kwao 1 kwa 1?
Fault ya aina gani mkuu
Maranyingi card yako na password yako ni siri yako na bank yako, ninyi ndio mtahusika pindi yakitokea matatizo
Et Ukinunua Simu Ebay Labda Ya Carrier Wa Marekani (eg.AT&T) Itamaanisha Ili Uweze Kuitumia Kwa Mitandao Yakibongo Ni Lazima Ui-unlock(uiflash) Kwanza???
Sasa mbona hiyo iko wazi kabisa unafikiri kwa nn watu wanaflash simu?
Kuwa makini usijenunua simu za ISP wa CDMA technology kama sprint etc
Sasa mbona hiyo iko wazi kabisa unafikiri kwa nn watu wanaflash simu?
Kuwa makini usijenunua simu za ISP wa CDMA technology kama sprint etc
Zile Ambazo Zimeandikwa Unlocked Si Sawa 2 Kuchukua?
Em Nieleweshe Kuhusu Hiyo "ISP Wa CDMA Technology"?
Yaani ukinunua simu ipo locked kwa CDMA network ni sawa na kununua modem ya sasatel au zantel au ttcl afu umpelekee fundi aku unlockie ili uweze kutumia GSM network kitu ambacho ni impossible....silu zote ktk simu/tab/ipad angalia carrier na contract...na hakikisha carrier ni unlocked tena without contract...kama haiko hivyo achana nayo kabisa usije ingia mkenge
Ah Kumbe Tz Tunatumia GSM Network Na Sio CDMA Network! Asante Kwa Kunifungua Ndonga Langu.
GSM ni airtel,tigo na voda na line za zantel
CDMA practically ktk calls na sms ni ttcl pekee lkn iinternet wapo sasatel na zantel pia
Et Wadau Pale Unapojisajili Paypal Wanapotaka "Zip Code" Inakuaje? Je Tanzania Tunazitumia? Na Kama Hazitumiki Sa Inakuje Pale?
unapata katika online bank statement. ushajisajili na internet banking crdb?