My first ebay Shipment


sawasawa mkuu. basi kwa sasa its best ufanye mchakato wa kutupatia address yako ya us kaka, ill be the first of your transists kaka, one more question upo wapi in the states mkuu, na ukitaka hii kitu iende smooth zaidi ts best uwe na account ya paypal inayokubali malipo tuweze kukulipa percent yako kirahisi na kwa haraka.. ila ombi kubwa ni kuwa kama unampango na uko serious kufanya hii bussiness tunakuomba uship kwa DHL au FEDEX na mizigo yetu uiship kama GIFT ili tuepuke kodi za huku kwetu mkuu... haya ni mawazo yangu ya haraka kaka @waltham
 

kaka niko boston massachusetts.paypal a/c niko nayo na ndiyo trust iwepo mwanzo kaka na suggest ujinunulie ebay mwenyewe au amazon then ship to my address in USA then i reship as you suggest to your destination if you dont want me to handle your money.pili nahitaji mtu wakutafuta biashara hapo tz ndiyo iwe economical kufanya
 
okay brother, mimi niko malimbe mwanza saint augustine na ni watu wengi sana wanataka kununua vitu online almost kila wiki watu watatu wanne wananitafuta kuhusu hilo suala hivyo nadhani base nzuri ipo mkuu, pia nilikuwa nazungumzia paypal account yako ili mtu akulipe shipping costs za kuja Tz pamoja na kukulipa wewe kiurahisi ili mambo ya western union yasihusike, iwe ni mtu kukujulisha kuwa ananunua mzigo wewe umpe go-ahead anunue yeye mwenyewe aship kuja kwako, ukifika kwako wewe utampa costs za shipping kuja bongo na kiasi chako ,yeye atakutumia paypal, ukishapata malipo yake paypal (na nadhani ni instant) unamtumia via DHL au FEDeX kama gift.... inshort wewe unakuwa kama myus lakini local mkuu. and i assure you watu wakikujua utakula faida nzuri sana kaka..
 

SAWA KAKA LETS ME RENEW MY PAYPAL A/C TODAY AU KESHO.HALAFU YOU CAN NOW WRITE THRO MY EMAIL ekagundu2000@yahoo.com.nitakupa number yangu ya simu pale kwa email so drop me a mail please
 

Kaka tumekusoma
 

As much as you are right I'd like to point out a few things to you:
  • NOT EVERYONE is fortunate enough to have a relative in the US or UK or wherever these online retailers operate at large so such re-shipping are good to the majority hata kama u say they charge you for giving you their address.
  • NOT EVERYONE can trust someone from nowhere, at least MYUS is an established service. I'm not saying u can't be trusted, all I'm saying some will prefer an established service at a charge than a single person
  • NOT ANYBODY can setup an online retail shop, it's harder than you make it sound and unlike your idea of a shop eBay and Amazon cover their products. Infact MOST amazon products are shipped and packed by Amazon, eBay I can agree na point yako kidogo but also kuna policies nyingi to cover a buyer

And you keep using the word "DOPE", I don't think it means what you think it means.
 

sawa sawa mkuu.all the best.mie sina ubaya kaka
 

MyUS wanakucharge kiasi gani wao kuship Tanzania? Mfano nimenunua simu dola 100, nikawapa hyo address ya MyUs, Hao MyUs wakaupata mzigo wakataka kuutuma Bongo, watakucharge kiasi gani ili wautume mzigo wako? au ukishalipia hyo set up cost ndo inakuwa mazima hadi mwaka uishe?
 

Ukishafungua tunaomba marejesho
 
mkuu mimi nimepurchase physical adress ya US ambapo shipments zangu zote zinaenda kwenye hiyo US adress then ndo wananitumia TZ mpaka ofcn kwa bro, imetake like 5days kutoka states mpaka hapa bongo

Hii kaka sio shioment ya Ebay ni shipment ya huyo aliyekupostia kutoka US. Shipment ya Ebay iliishia kwa mwenye address US.
 

Kaka shipping ya myus.com subiri mzigo ufike kwao uchague njia watakayo post nafikiri kwa simu ukichagua DHL/FEDEX ni around 50$...
Mm nilitumia kuingiza mzigo wa vitu kadhaa (rejea post yangu ya nyuma) vilikua vidogo vidogo ila walipo assemble kilikua kibox kikubwa na walini charge 84$
 
Ulishawahi kuagiza vitu kupitia aliexpress? ulivipata? uaminifu wao upoje?
 
Ulishawahi kuagiza vitu kupitia aliexpress? ulivipata? uaminifu wao upoje?

Vitu vyao bei kule afu ile kilo sita yangu ya crdb ambayo mpaka leo nasubiri wanipe refund ilipotelea huko baada ya kununua ya kulipia DVD 4 pamoja na kuziship kwa dhl nikaletewa Vitabu...
Nikaopen dispute wakasema wamerefund hela mpaka wa leo
 
Vitu vyao bei kule afu ile kilo sita yangu ya crdb ambayo mpaka leo nasubiri wanipe refund ilipotelea huko baada ya kununua ya kulipia DVD 4 pamoja na kuziship kwa dhl nikaletewa Vitabu...
Nikaopen dispute wakasema wamerefund hela mpaka wa leo

Imeshakula kwangu, nimelipia vitu jana.

Naweza kucancel order?
 
Vitu vyao bei kule afu ile kilo sita yangu ya crdb ambayo mpaka leo nasubiri wanipe refund ilipotelea huko baada ya kununua ya kulipia DVD 4 pamoja na kuziship kwa dhl nikaletewa Vitabu...
Nikaopen dispute wakasema wamerefund hela mpaka wa leo

mbona mnatutisha aisee mm naona kule aliexpress bai zao kama zipo chini ukilinganisha na eBay .
nipo kwenye mchakato wa kuagiza mzigo mbona mnanitisha sasa?
 
mbona mnatutisha aisee mm naona kule aliexpress bai zao kama zipo chini ukilinganisha na eBay .
nipo kwenye mchakato wa kuagiza mzigo mbona mnanitisha sasa?

sio kumtisha kamuulize na Brakelyn au kasome comment yake kuhusu Aliexpress...

Ikumbukwe hadi eBay matapeli wapo ndo maana tunashauriwa kununua kwa wale wenye positive score nzuri tu

Mbona siku nyingine niliagiza Huawei 3131 ikafika bongo kutoka aliexpress bei zao ziko poa ila ikumbukwe ni Chinese product pia...

Unanunua simu wamekwambia 8GB ROM ukiweka movie za 1GB simu inapiga kelele battery low...hivo kua makini kitu unachonunua
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…