Hahaha Mkataa pemaUmemnyima jamaa afu ukaja tobolewa na boya tu flan..afu bado hauja olewa khaaa..saiv wanazamisha tu
,jinga kabisa hawa viumbeHivi nyie wadada wa JF hamna aliekuwa na first bf kilaza kama mimi?! 🙂🙂🙂Heheh umenifanya Nimkumbuke my child love..kipangaa hivi aliendaga Yale...since then I have a thing for Smart Men...mtu akiwa kilaza naona I can't deal kabisaaa.,akiwa kipangaa bas roho kwatuuu.,maisha bwana
Hahahaha...tupoo we unadhani baada ya bf hawa kwenda abroad waliofata nao walikuwa vipanga??subutuu,..Mungu anajua kunyoosha watu si mchezoo.. Vipanga waliacha bikra wazee wa kazi wakafanya yao,..Hivi nyie wadada wa JF hamna aliekuwa na first bf kilaza kama mimi?! 🙂🙂🙂
Ukitongozwa usikatae katae hovyo hovyo. Jinga sana MoniccaStory yako inatufundisha nini?
Ushauri huo kautoa kwa Monica.
brother wanaume wasiokatwa huweza kusumbuliwa na fungus kama wanawake tu, wasipokuwa wasafi.
well too bad hujanielezea...but me sioni tofauti, as far as circumcision is concerned. hata Afrika kuna jamii hazitahiri vile vile.
kukata ili kupunguza maambukizi ya UKIMWI ni umburulaz. acheni ngono zembe.
kukata kupunguza uwezekano was kupata cancer nayo ni umburulaz. tuwakate wasichana nyonyo ili tuwapunguzie uwezekano was kupata breast Cancer?.
swali zuri