My first boyfriend

My first boyfriend

Hapana. Ni maumivu sana hivyo haihitaji watoto. Sasa hivi atakua kashawekewa tayari. Mjaribu akugegede vema.
angalau wewe UnA huruma na hao watoto dah.

Si tuache kutahiri tu. haina haja.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tulisoma wote O'level. Tulianza kudate form 3. Chotara flani amazing la kimasai na kijerumani. We were labeled the most childish couple. I was all shy and innocent. (STILL AM)

The guy was uncircumcised. Sijui Ndomana I got a thing for uncut guys 😀. Circumcision is so unnecessary!!

No I never slept with him. Alikuwa ananionyesha tu na vingine kidogo lakini hatujawahi. I was saving it for marriage 🙂

We were to get married tukimaliza chuo.
Hapo me nawaza harusi tu. Hadi kwa mama mkwe Nilitambulishwa. 😀

Nilikuwa nikimpigia simu ananipa nimsalimie mkwe (mkwe ya muzunguu)

Tulikuwaga Tunaenda movies Jioni. Mie nakuja na dada (hg) na mdogo Wangu mmoja. Peke yangu siruhusiwi. Twice, wazazi walipokuja kutuchukua walimwona. Mara ya kwanza nikawaambia ni school mate. Mara ya pili mama akauliza yule ndo yule school mate wako?

Baadae dada ananiambia na yeye Kaulizwa mara ngapi tumekutana na school mate. Akasema mara kadhaa. Hiyo Ndo Ilikuwa movie ya mwisho kwenda. Mkitaka movie nunueni CD.

Nilimuacha coz tulikuwa tunaandikiana barua anaenda kuonyesha marafiki zake. Sijui kushow off au kunichora!! Mtoa habari mwenyewe sasa!!! Hadi kawaambia eti amenikula. nikamuachaaa kuSave the good girl face huku roho inauma.

Akatuma na watu kuniomba msamaha, eti hadi kalia. Mie trust ishapotea, girl of principles you don't play me like that.

A level akaenda kwingine but we still talked. Tualternate urafiki-uadui.

Fast-forward years later baada ya kupotezana mwenzangu alienda Yulop, I get a facebook request. Naangalia profile nawaza hili tangazo au? Why a hot body builder model guy adding me??

Mweeeee! Hadi aibu mla vumbi mie. Nimechokaje na shillingi inavyoshuka thamani. Last time I saw him alikuwa kyembambaa Hakana Hata nywele moja he looked like a shaved bird na mitege yake.

Damn the guy. Life has treated him well, nikisema mambo yake sio mabaya, it will be an understatement.

Limekuwa refuu sijui ndevu zimemuota lini, bonge moja la goatee. Naona kaamua kukomesha na vyuma kabisa.

Kama hiyo haitoshi kuna le mbebez Kajaaa kwenye profile. nimemuamgaliaaaa le mbebeez Nimeamua kumblock tu.
Hhahahahaahaa eti na shilingi inavyoshuka thamaniii..
 
kumbe inakuwaga hivi eeh,

Ilikuwa anakaa karibu yangu darasani, madaftari yangu ananisaidia kujaladia, anayaandika majina kwa madoido, nilikaribishwa sana kwao, sunday school kwa pamoja, kukaa sehemu moja kila mahali, kuombwa kusindikizwa kwenda huku na kule asubuhi mchana jioni hata usiku, kuja kusomea kwetu kuombwa kwenda kusomea kwao hata kulala kule......

Sikuwahi kupata wazo lolote baya, la kuasi. Hakika nilikuwa na ule upendo hasa hasa, hata siku naenda secondary nipo kwenye gari chozi likanitoka kufikiri tu niliowaacha ambao hawakufaulu first selection lakini wazazi wanawatafutia private.

Nakuja likizo ya kwanza naambiwa wengine walishaenda shule za mbali.

Siku zinakwenda miaka inapita nasikia fulani kapita mara nanilii siku hizi hivi mara vile mara kuna vijana wa mjini yoooote hata hayakuniingia akilini vizuri, Hata nilipokuja kuambiwa 'nilikuonyesha kila dalili ili uwe wa kwanza, nilisumbuliwa sana hadi nilipoona sasa basi'

Oooh kumbe uzi wa watu huu, ngoja nami nikianzisha mtajua yote
 
Peleka uhayawani wako fb huko hivi unadhani humu ni watoto kama wewe??
 
angalau wewe UnA huruma na hao watoto dah.

Si tuache kutahiri tu. haina haja.

Kiafrika govi lina risk nyingi ikiwemo kansa ya kichwa cha mboo, kansa ya shingo ya uzazi na maambukizi ya zinaa like HIV, Hepatitis B&C nk
 
jitahidi uandike kiswahili
ili tupate maana halisi...
maana wengine lugha haipandi,
kwahiyo sijaelewa kabisaaaa.
 
Kiafrika govi lina risk nyingi ikiwemo kansa ya kichwa cha mboo, kansa ya shingo ya uzazi na maambukizi ya zinaa like HIV, Hepatitis B&C nk
Kwanini kiafrika, mbona Europe hawajaambiwa watahiri kwa hizo shida?

nitaelewa kuwa labda joto na Umaskini tunashindwa kupata maji masafi ya kuogea kwahiyo wanapata Sana infections Kama fungus.

na labda watu kufanya ngono zembe. lakini kweli mtu ukate kiungo cha Mwili ili ukakitembeze ovyo bila kupata virus?? nani kasema hutopata virus!

tuache kukata bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom