Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
umeona eeehhh!Mhhhhhh! Ngoja nitarudi.
Mdogo wangu, maisha unayoishi yataku cost sanaa! All I can tell you its never worth it.
Utatumika mpaka utapojisoma! And it will be too late.
yaani mimi watu wa hivi nawaona wana busara sana..... mimi nilizikosa kwa kweli..... yaani uniletee za kuleta bado nakung'ang'ania tu? na si mume wangu! kwani wakaka wameisha? hata kama wameisha nikiwa mwenyewe ndo nitakufa?