my fiance's hooker is coming my way...msaada pliiiiiz!!!

my fiance's hooker is coming my way...msaada pliiiiiz!!!

Da mkuu busara zako huwa zinaniongoza mara nyingi..barikiwa sana

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mahawara ndivyo walivyo, huwa wanatafuta kila jinsi ya kuwachonganisha ili abaki yeye.
ila huyo mwanaume naye inawezekana anatafuta jinsi ya kukuacha. yawezekana, ukimuacha tu, utasikia kashatangaza ndoa mwenzako.
hawa wanaume hawa....... smtms ni bora kushi bila wao
 
Angekuwa mwanaume ndo kaleta huu uzi wala usingeona sehemu kaambiwa vumilia, usimwache n.k yote ingekuwa picha chini huyo hafai.
 
achana nae..he is not matured enough... He is stupid 'ashi ole'
 
hilo ni kosa jingine...... naishia hapo
Najua kitu unachotaka kusema, ila lazima tuwe wavumilivu kabla na baada ya ndoa. Kama huna uvumilivu katika uchumba usitegemee kuwa nao ukishaolewa (definition yangu ya kuolewa inahusu me na ke, kwani siku hizi naona makaka zetu waliotangulia wameolewa tu ingawa wao hujiona wameoa. Anayeoa ni head of household na HH wa siku hizi ni nyie akinake). Nyota njema huonekana asubuhi.
 
Pole...pole... pole again. sikushauri uachane nae coz umeshasema utampa mpinzani wako ushindi. Msamehe tu.
Pongezi zangu kwako bidada. Ushauri mwanana. Nimefanya tathimini katika sred hii, inaonyesha wengi tunataka kumharibia, pengine kwa sababu hatuna wenzi hivyo tutafurahi huyu naye akijiunga kundi letu. Huu ni mtizamo tu
 
Angekuwa mwanaume ndo kaleta huu uzi wala usingeona sehemu kaambiwa vumilia, usimwache n.k yote ingekuwa picha chini huyo hafai.
Naomba nipingane nawe, kwangu napenda uvumilivu kwa pande zote maana wengi hatupo wasafi siku hizi.
 
Thankyuni wote wadauz mana my brain waz empty...nilipigwa na butwaa coz cjawahi waza ntakuja kutana na vitimbi vya style hii maishani khaaaaa!!!namngoja nisikilize defence atayokujanayo... will decide thereafter
Good Girl, subira yavuta heri. I wish ningemjua huyo kaka tungemshauri, unajua sisi wa dot com tunakosa ushauri wakati mwingine. Hizi k ni za kupita bali waolewaji kama wewe ni wachache. Utagundua mwolewaji kwa comments zake. Piga chini ni rahisi kumweleza mwenzio wakati wewe umekumbatia!!! Tujirudi. Msisahau kuja njinjo kwa honeymoon mpya na mtangaze ndoa kabisa ila uonyeshe ushindi.Merci)
 
Mambo ya faragha mtu kaambiwa, password ya fb kapewa sembuse wewe hata huijui password yake ya fb bado unataka ushauri.. endelea kutumika
 
yani meamini mapenzi hayana mwalimu na hamna kufuzu khaaaaaa...
 
kwa hiyo unatupotezea muda kujadili hili?
yaani umekuja unalia kuomba ushauri kumbe solution anayo aliyekutenda....
wewe huna say, sisi pia (kama outside factors) hatuna say, sasa kwa nini umekuja kujidhalilisha hapa? umekuja kutuambia uchafu woote ambao unatendewa na huyo bwana halafu unatuambia yeye ndo atatoa maamuzi...... If I ever knew......!


u misconstrued my point bidada...outside factors there namaanisha thngs like huyo hooker. ninaappreciate each n every opinion by members herein
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom