my fiance's hooker is coming my way...msaada pliiiiiz!!!

my fiance's hooker is coming my way...msaada pliiiiiz!!!

  • Funga safari, kamkalishe mzungumze, na kipindi hicho mtakachokuwa pamoja lazima utajua tu msimao wake.
  • Usikimbilie kuvunja uhusiano, kumbuka umetokanaye mbali na unamfahamu vyema.
  • Katika matatizo ya mahusiano hili haliwezi kuwa listed, huu ni mtazamo wangu.
​
Ushauri wa kihalisia. Wanaume kuna wakati kipya kinyemi ingawa..... Ushauri mzuri
 
Ni ngumu sana kuvunja ndoa......
ndoa ina mambo mengi sana, ilishashirikisha watu wengi sana. sijawahi shauri mtu avunje ndoa yake hata kama mwenzi wake kafanya kosa gani. ningemshauri aongee na mwenzi wake waone tatizo liko wapi. na kama mume ameshaliona kosa lake na kaomba msamaha basi wanaweza kuendelea.
Ukubali usikubali kuna mahusiano ni sawa Na ndoa. Alivyosimulia relationship Yao sawa Na ndoa
 
wala hatujakutana mitandaoni, ni wa longi kabla hiyo mitandao haijaleta mapinduzi... kanishangaza sn kiukwl

Bidada hadi hatua hiyo ni kwamba jamaa sio type yako wala husband material based on what he has done to you.
Hapo tu ndio mpo kwenye uchumba tayari anaiba ruti na kupiga mechi za mchangani hadi anapotea na kumwaga siri za ndani
Hay nambie 5 years in marriage itakuwaje na wewe utakuwa na hali gani na hii dunia ilojaa maradhi?
Pia kama hoja zako ni kuogopa kumpa pointi zote tatu huyo mwizi wako, chagua moja kati ya haya:-
1. Kubali kuendelea kuumia moyo kwa huo mvutano/chokochoko za mwenzio na pia jiandae kuletewa maradhi na jamaa maana hadi sasa hujui mpo wangapi.
2. Muache jamaa utunze heshima yako na amani ya nafsi yako na pia kujichunga na maradhi.
The choice is yours mama
 
ukweli unajieleza wenyewe huna mtu hapo tatizo unampenda sana
 
simaanishi namng'ang'ania jaman, yy anaonekana yuko tayari ku'clear the mess kwa price yyte...up to now keshamconfront huyo binti..so kuchapa kwangu lapa kutategemea na his stand on us na sio other outside factors...kukosea tumeumbiwa wanadamu
Nakuomba kakabiliane naye ukiwa Na dhamira moja tu kurudisha uhusiano wenu. Katika maisha enda Na Moyo wa kupata utakacho. Samehe ili usamehewe maishani. Nipe results mkisettle differences zenu. Mapenzi ndivyo yalivyo. Karibu njinjo katika honeymoon mpya
 
Huyo dada huko aliko wapo close zaidi ya alivyo na wewe. Sasa akili iwe yako. Na hiyo kuama kazi labda yeye ndio aje ulipo kama wewe kwenda mmmhh fikiria tena. Kamblock umejuaje yote hayo? Bbm, whatsApp, twitter, viber amemblock pia? Vipi kama mdada kabadili jina fb au ana account mbili?

Kamwacvhia na simu na unazani weye namba moja mmmhh fikiria na pole sana.
Ila na siri I hope zingine haukuandika kwenye social media ndio amesoma humo.

Goodluck!
 
Hahahahahaaaaaa,
Sipati picha alimpa details gani kuhusu wewe;
"yule usimuone mbwembwe tu ila kitandani hamna kitu pale, tena ananuka dudu mpaka huwa najihisi kichefuchefu"
"Yaani yule mwanamke ni mchafu kuoga mara moja kwa wiki, ni mapafyumu tu anajua kujipulizia"

Jiulize kama kweli unahitaji mwanaume atakayekuwa anawaeleza Malaya zake habari zenu za ndani...
Giving up doesn't mean you are weak, sometimes it means you are strong enough to let go....
Do Something......



hahahahahhhh....umenichekesha mnoooo ati haogi!!!! ananuka dudu!!!! teh teh
 
Pole...pole... pole again. sikushauri uachane nae coz umeshasema utampa mpinzani wako ushindi. Msamehe tu.
 
hapo kwenye RED ndo wanapokosea mabinti wengi......
huyo si mumeo, anatoka na mtu mwingine na anamwambia kila kitu kuhusu wewe bado unataka kumng'ang'ania kisa usimpe mpinzani ushindi....... nashukuru mimi sikupewa busara hizi jamani

nilishawah kusema mara kibao hapa jamvini kwamba bf ama gf sio mtu wa kumsumbua mwenzie akili kabisa.manake hakuna ties hapo.
ni ujinga kumng'ang'ania mtu asokuthamini,
maisha nya huyu mdada yatam,gharimu sana na yatamchosha sana lara 1 has said it correctly
 
Last edited by a moderator:
Thankyuni wote wadauz mana my brain waz empty...nilipigwa na butwaa coz cjawahi waza ntakuja kutana na vitimbi vya style hii maishani khaaaaa!!!

namngoja nisikilize defence atayokujanayo... will decide thereafter
 
Pole...pole... pole again. sikushauri uachane nae coz umeshasema utampa mpinzani wako ushindi. Msamehe tu.

acha kumpa matumaini ya uongo bhana,
huyu dada huyu si mtu sahihi kwake hata akeshe miaka mia.
aanze maisha yake upya aachane na mambo ya mahaba niue.
 
ukweli unajieleza wenyewe huna mtu hapo tatizo unampenda sana



wala ishu sio kumpenda sn bt kaniduwaza mno,, imekuwa gafla hlf cjawahi waza he z capable of doing wht he has done
 
acha kumpa matumaini ya uongo bhana,
huyu dada huyu si mtu sahihi kwake hata akeshe miaka mia.
aanze maisha yake upya aachane na mambo ya mahaba niue.



nimekoma mpnz na mahaba niue,, now nataka mahaaba nitunze khaaaaaa,, yani nimemdharauje sasa c dhani kama nitaweza muheshimu tena aisee
 
Sepa banaaa!!!! Kuna vitu unaweza kusamehe katika mahusiano ikiwemo cheating kama una moyo wenye nguvu kiasi hicho, lakini si hilo la details zako nyeti sana kutangazwa kwa huyo bidada mwingine na kuanikkwa hadharani kule FB.
 

za w'end wana jf....

Nina mchumba ambaye anaishi mkoa while I’m stayn in dar. tumekuwa tukitembeleana mara kwa mara ili kuyapa mapenzi yetu uhai na currently tunashughulikia uhamisho mmoja wetu kumfata mwenzake.

Sasa the prblm is hivi juzi kati kaibuka binti huko kwny fcbk kutundika mapicha alopiga na man wangu zingine za chumbani,, nikamwuliza mzeiya akasema hamna kitu km hicho labda ni dem wa mmoja wa marafk zake.


Jana asbh nimepokea msg frm my man akinieleza hajawahi kunipenda anajilazimishaga tu anampenda sn huyo msichana na nisiote kwmb atakuja kunioa blah blah blah…
Nikamwendea hewani, akaniambia hajui lolote on that msg nikamfowadia…later on akafunguka kwmb nimsamehe sana ni kweli anatoka na huyo binti na imechangiwa na kwmb yy ni mwanaume na mie nipo mbali ni shetani alimpitia. Akakiri kuwa bidada kuna time aliazima simu yake hivyo ndiye aliyetuma hiyo text.

Huyo binti hajaishia hapo, anatapika mno huko fb it seems she has all my details even siri za ndani sana huyu bwana kamweleza, sielewi why ampe details zangu hadi zile ambazo ni more sensitive…dada anatiririka tu fcbk…mbaya zaidi alifanikiwa kuingia kwny fb A/C ya man wangu full kujitumia msgs na kukoment on her pics (ionekane huyo bwn ndo anaecomment). Now mashemeji zangu wameona, they ask me nabaki kujichekesha na kuwaambia wamwulize mhusika. [mpaka sasa amesham’block hana tena access na amedelete hayo mauzauza]


Naomba msaada wa mawazo wanajf nimekwama, bwn ananiomba msamaha saaaaana na mie kiukwl nimemshusha thamani saana tu afadhl angeishia kunicheat but hadi kumpa huyo binti details zangu mie!!!!!!!!!!!!!!!!! NAH..nah…nah…imenikera hadi nakaribia kupasuka hapa. Amenidhalilisha mnoooo im thinking of breakn up bt naona kama nitakuwa nimempa ushindi huyo dada coz ye ndicho anachokitaka… nimechokaje na haya majambo sasa kaka mtu mzima kwenda kuhangaika na vinuka mkojo matokeo yake watu tunachafuliwa khaaaaaaaaaa…….
Danganya lakini nisifahamu, nikifahamu hapo ni kuachana tu lets live stress free na hiyo tabia ya mahaba niue ndo inayowaumiza wengi na mwanadamu haaminiki penda kidogo tu yakitokea kama haya unamaliza juu kwa juu unampa mtu kibuti chake unaendelea na shuguli zako wala huleti mada jamvini....so mpige kibuti huyo coz ameshanogewa mpaka anatoa nyeti za ndani
 
simaanishi sitochapa lapa if ikibidi, anakuja town kesho kuweka mambo sawa so itategemea na msimamo wake on us and his future acts...
yaani yeye akukosee, na yeye ndo unategemea atoe msimamo kuhusu furaha yako wewe, kweli?
ngoja nikuambie mdogo wangu..... wewe binafsi ndo una maamuzi na furaha yako. jiamini, hata kama upo vipi utapata ambaye atakuheshimu na kujua utu wako. haya mambo ya kuwaachia wanaume wawaamulie maisha yenu ndo yanawaingiza matatani
 
simaanishi namng'ang'ania jaman, yy anaonekana yuko tayari ku'clear the mess kwa price yyte...up to now keshamconfront huyo binti..so kuchapa kwangu lapa kutategemea na his stand on us na sio other outside factors...kukosea tumeumbiwa wanadamu
kwa hiyo unatupotezea muda kujadili hili?
yaani umekuja unalia kuomba ushauri kumbe solution anayo aliyekutenda....
wewe huna say, sisi pia (kama outside factors) hatuna say, sasa kwa nini umekuja kujidhalilisha hapa? umekuja kutuambia uchafu woote ambao unatendewa na huyo bwana halafu unatuambia yeye ndo atatoa maamuzi...... If I ever knew......!
 
nilishawah kusema mara kibao hapa jamvini kwamba bf ama gf sio mtu wa kumsumbua mwenzie akili kabisa.manake hakuna ties hapo.
ni ujinga kumng'ang'ania mtu asokuthamini,
maisha nya huyu mdada yatam,gharimu sana na yatamchosha sana lara 1 has said it correctly
rafiki, kuna mambo nadhani itabidi tuyakalie kimya tu..... wanasema mtoto akililia wembe mpe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom