baby ake
Member
- Aug 27, 2013
- 60
- 17
za w'end wana jf....
Nina mchumba ambaye anaishi mkoa while Im stayn in dar. tumekuwa tukitembeleana mara kwa mara ili kuyapa mapenzi yetu uhai na currently tunashughulikia uhamisho mmoja wetu kumfata mwenzake.
Sasa the prblm is hivi juzi kati kaibuka binti huko kwny fcbk kutundika mapicha alopiga na man wangu zingine za chumbani,, nikamwuliza mzeiya akasema hamna kitu km hicho labda ni dem wa mmoja wa marafk zake.
Jana asbh nimepokea msg frm my man akinieleza hajawahi kunipenda anajilazimishaga tu anampenda sn huyo msichana na nisiote kwmb atakuja kunioa blah blah blah
Nikamwendea hewani, akaniambia hajui lolote on that msg nikamfowadia later on akafunguka kwmb nimsamehe sana ni kweli anatoka na huyo binti na imechangiwa na kwmb yy ni mwanaume na mie nipo mbali ni shetani alimpitia. Akakiri kuwa bidada kuna time aliazima simu yake hivyo ndiye aliyetuma hiyo text.
Huyo binti hajaishia hapo, anatapika mno huko fb it seems she has all my details even siri za ndani sana huyu bwana kamweleza, sielewi why ampe details zangu hadi zile ambazo ni more sensitive dada anatiririka tu fcbk mbaya zaidi alifanikiwa kuingia kwny fb A/C ya man wangu full kujitumia msgs na kukoment on her pics (ionekane huyo bwn ndo anaecomment). Now mashemeji zangu wameona, they ask me nabaki kujichekesha na kuwaambia wamwulize mhusika. [mpaka sasa ameshamblock hana tena access na amedelete hayo mauzauza]
Naomba msaada wa mawazo wanajf nimekwama, bwn ananiomba msamaha saaaaana na mie kiukwl nimemshusha thamani saana tu afadhl angeishia kunicheat but hadi kumpa huyo binti details zangu mie!!!!!!!!!!!!!!!!! NAH..nah nah imenikera hadi nakaribia kupasuka hapa. Amenidhalilisha mnoooo im thinking of breakn up bt naona kama nitakuwa nimempa ushindi huyo dada coz ye ndicho anachokitaka nimechokaje na haya majambo sasa kaka mtu mzima kwenda kuhangaika na vinuka mkojo matokeo yake watu tunachafuliwa khaaaaaaaaaa .