My fairy tale story

Mamito kila jambo na wakati wake,wakati wa furaha ukija furahi to the maksimam,wakati wa kulia ukija omba mpaka majiran wakusaidie kulia lol!hongera zako mwaya ucsahau maombi kwan shetan naye hapendi kuona watu wanafurahi.
 
mimi keshokutwa naenda kujaribu bahati yangu..sijui na mimi nitakubalika dada'ngu kwani tumezungushana muda sasa..atimaye kasema sikukuu..ananionjesha...tutakaa siku kadhaa hivi huko tutakakokua.. hapa nilipo napiga jalamba ili nijizolee point..hakika huyu nampenda.hongera dada.
 
dah,ulibahatika kwa kweli!fasta hivyo jamaa anaoa?wengine muwe makini hata moyo udunde kana unachomoka,inaweza kuwa presha na sio mapenzi
 
mmh hongera xana mamito.......................... nakuonea raha mmh.
afu na mm nimemuona mmoja leo ila kwenye jam ss 2kaangaliana kwa macho fulan iv ya kusemezana mioya
sa cjui ndio huyoo........ ss kwa coincidance kama yangu nitamuona wap tena jaman mmh.
 
mmh hongera xana mamito.......................... nakuonea raha mmh.
afu na mm nimemuona mmoja leo ila kwenye jam ss 2kaangaliana kwa macho fulan iv ya kusemezana mioya
sa cjui ndio huyoo........ ss kwa coincidance kama yangu nitamuona wap tena jaman mmh.
kama ni huyo umeandikiwa mtakutana tu, maadam mkumbukane tu
 
hongera mrembo, story yako imenigusa sana, kweli linalowezekana leo lisingoje kesho, Mungu akusaidie sana mipango yako iende kama ulivopanga, wengi wameshindwa mahusiano ya mbali kama mmeweza mpaka anarudi na spirit ileile mshukuru sana Mungu
 
hivi kuna watu wana vituko humu ndani, nimecheka mpaka mbavu zimedata huyo walokutana kwenye jam ah!

hongera shoga ,mapenzi ya dhati siku hizi yameadimika, mwenzio nimeyatafuta hadi nazeeka sijayapata.
 
Back
Top Bottom