My experience baada ya kumaliza chuo kikuu

Sasa aifute kisa kuna ambao hawajapata kazi??? Unataka wote tufanane???
Kila mtu ana riziki yake kama Mungu alivyopanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aloo acha tu
sasa nifute story ili iweje?
Lengo lilikuwa kuwaambia graduates fursa zipo nyingi Tanzania,na wasikomae na Dsm tu kwani hata mikoani fursa zipo
And if you good watakurejesha tu wenyewe Dsm baada ya kuona ufanisi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa huko serikalini ukipata hizo 500k bila marupurupu zinatosha kufanya maisha yaende kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea vizuri mno.
Niseme tu kijana upo positive na hongera kwa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu
Nimelelewa katika kuamini Mungu yupo na anatupenda, anatujali na kwa wakati wake atatenda.Am always positive.Bibi yangu alikuwa alinambia usiku hauwezi kukaa milele kutakucha tu, nilimwelewa akimaanisha no situation is permanent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa huko serikalini ukipata hizo 500k bila marupurupu zinatosha kufanya maisha yaende kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yanasonga hivyohivyo
Mimi nilitoka private nikaingia serikalini kwani ndio sehemu zilipo ndoto zangu
It's not about salary ama marupurupu
I wanna be someone in this govt
If God wish oneday I will be inshallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nalipa kulingana na serikali yetu jinsi ilivyo panga mishahara. na anaepiga kazi ni kafurahi na muongeza siwasubiri tukta. huyo hajapata msoto kama kweli msomi aachekazi tuje tuzalishe ajira. sasa wote wanakimbilia kuajiriwa inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…